Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa?

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Matawi ya CCM.
Zito msaliti na mdini kupitiliza. la Bandari kimyaaaa as if hakuna kitu kibaya kinatendwa na serikali
 
Vyama (Vikundi) vya CCM vya kuthibitisha (justification) ya multipart system and democracy katika nchi yetu - hivyo vimetulia vikisubiri 2025.
 
WE JAMAA BHANA! Una akili sana...hongera kwa familia yako na wanaokuzunguka
 
Rudia kusoma ulichoandika mkuu, hujataja chama hata kiomoja kinachofanya siasa kwa sasa.Kitaje basi hicho chama tukijue, mada inataka hivyo.
 
ACT wako kwenye serikali ya umoja wa kitaifa
 
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa?

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Shida iko wapi! Ni wanani zaidi unaowahitaji. Hakuna Chama zaidi unaowadhania ni majina tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…