Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Ndege tunduni
 
Ungewauliza, hivi kupendeza kote huku huwa munatumia mkologo wa aina gani? Jibu Lao ndio lingethibitisha Kama ni natural beauty au hiyo mikologo yao..
 
Hapo hujaenda Makumbusho jioni pale, ndo utazidi kusifu uumbaji wa Mungu. Ila kaa nao mbali, huo mji hakuna ambaye hana stress, utaingia kwenye mambo mazito, haha.
 
Dar hatari sana naupa namba 1 .Toto kali kila kona.Huku nilipo hamma kitu , unakuta mtoto mzuri mzuri ila miguu imepauka,mengine meusii yanaongezea na mavilemba juu .Shenzi taipu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuta m1 afu mtengenezee awe km wee unavotakaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maeneo hayo wengi ni wanachuo.
 
Acha ushamba hao sio wazuri sema wanajipodoa sana ila komaa nao watafune izo pesa ulizo uza mazao zikiisha utapata akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…