sina vyeti feki na sijawahi kupata maksi kwa kuiba mtihani, hebu we sema kwa usahihi hizo nchi zenye wahamiaji kutoka nchi za kiislam. Umeambiwa why wasikimbilie nchi zenye kujinasibu ni za kiislam zikiwemo nchi kinara wa uisla saudi arabia, iran, oman, pakistan, qatar, kuwait, yemen, uturuki na nyinginezo? Badala yake tunaona waislam wanakimbilia sana nchi za magharibi ambazo si za kiislam
Ndio maana nimesema ualimu wako umeupata kimagumashi , yaani pamoja na ualimu wako umeshindwa hata kuingia kwenye mtandao wa shirika la wakimbizi duniani ukasach ukaona ni nchi gani zinazo wahifadhi wakimbizi wengi duniani?
Nchi zinazo ongoza kwa kuwahifadhi wakimbizi kutoka mashariki ya kati kwa mujibu wa shirika la wakimbizi duniani
(1)Iran
(2) Uturuki
(3) Pakistan
(4)Jordan
(5) Ujerumani
(6) Lebanon
Hizo ndo nchi zenye wakimbizi wengi kutoka mashariki ya kati ukiitoa Ujerumani nchi nyingine zote zilizo baki ni nchi za waislam.
Alafu ngoja ni kuelimishe unacho takiwa ni kutofautisha mkimbizi na muhamiaji, mkimbizi ni mtu aliye kimbia vita na kwenda kutafuta sehemu salama na vita ikiisha wanarudi nyumbani kwao .
Mhamiaji ni mtu anaye toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa sababu za kikazi,kibiasha,kimakazi,kimasomo,kiuchumi nadhani hao ndo unao usema.
Suala la uhamiaji barani Ulaya linatiwa chumvi na vyombo vya habari vya kimagharibi kwa ajili ya kuionesha na kuaminisha watu wajinga kama ww kuwa mataifa yao ni bora , lakini kiuhalisia wahamiaji wa kiuchumi wako kila nchi hapa duniani hata hapa Tz pamoja na usikini wake lakini wapo malaki ya watu kutoka mataifa mengine wameamia tz kwa sababu nilizo zitaja hapo.
Ukienda Kenya,Uganda , Somalia,nk ni razima utakuta raia kibao wa nchi nyingine wakiishi na kupiga mishe.
Ukienda UAE na Qtaar, Oman,Saudia kuna mamilioni ya raia kutoka nchi nyingine kwa sababu nilizo zitaja hapo juu.
Hakuna nchi hapa duniani isiyo kuwa na wahamiaji ila uhamiaji barani Ulaya unakuzwa na vyombo vya habari kwa misingi ya propaganda na kupenda kujikweza kwa wazungu .