Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Wayahudi wameishi ndani ya dola ya ottoman kwa zaidi ya miaka 800 bila ya kibughudhiwa. Nenda kasome mauaji ya wayahudi yaliyofanywa na wakristo huko ureno na spainHiyo Morocco na Tunisia sio mali za waislam... Hizo zilikuwa ardhi za Waafrika wa jamii ya Berber.... Hao waarabu wa huko Morocco unaowanasibu na kusema ni ardhi ya uislamu, hao ni wavamizi tu waliokuwa wanahama kutoka uarabuni kupitia misri na kuingia Afrika.
Mbona hauzungumzii Ottoman Empire na mauaji ya wayahudi
