much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Japo Mimi ni mkristo ila naona Hawa wenzangu wanautumwa wa kifikraWakristo wanatukuza sana hawa Wayahudi sijui wananini cha zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo Mimi ni mkristo ila naona Hawa wenzangu wanautumwa wa kifikraWakristo wanatukuza sana hawa Wayahudi sijui wananini cha zaidi
Huna akili sasa hivi umebadilisha mada tena na sio watu kukimbilia Ulaya umehamia kwenye pass na hela, alafu ni lini mkimbizi akategemea pass kuingia ndani ya nchi yeyote hapa duniani?Hao wanaokimbilia Iran, uturuki, Pakistan, jordan, Lebanon... Ni wale waarabu ambao hawana pesa ya kusafiria, au hawana documents kama passports, hivyo wanalazimika kukimbilia tu nchi jirani ili wapate hifadhi, lakini haimaanishi wanakimbilia nchi hizo kwa sababu wanazipenda.... Ni kama ilivyo kwa warundi kutokea burundi ambao wanaishi kambi za wakimbizi Tanzania... Hao hawana pesa au documents za kusafiria kwenda ulaya na Marekani.... Hizo nchi ulizitaja za kiarabu ni majirani wa nchi zinazopigana vita kila siku, hivyo raia wasiokuwa na uwezo ndio ukimbilia huko, mfano Iran na Pakistan ni jirani na Afghanistan, hivyo wakimbizi kutoka Afghanistan wengi ukimbilia huko. Uturuki, Labanon na syria uchukua wakimbizi wengi kutoka kwa jirani yao Syria ambako kuna vita za mara kwa mara. Pia Lebanon na Jordan zimepakana na Israel, hivyo wakimbizi wa Palestina wengine ukimbilia huko.
Ila kiukweli waarabu wengine hasa wenye pesa hawawezi kukimbiilia nchi za waarabu wenzao, wengi ukimbilia Marekani au USA. Ukiona muarabu kakimbilia kwa muarabu mwenzake juwa ni maskini hivyo pesa ya kusafiria hana.
Cha kushangaza mazombi ya kirokole yanasema eti waisilam wana chuki na Wayahudi.Wayahudi wameishi ndani ya dola ya kiislam bila ya kuvughudhiwa kwa zaidi ya miaka 1000. Walipokuwa wakipigwa vita na utawala wa Visigoths huko ulaya katika karne ya 7 walikimbia na kuishi katika ardhi za waislam. Mpaka leo yapo mabaki ya wayahudi ndani ya Morocco,Tunisia n.k Mayahudi wameishi mpaka katika mji mtukufu wa Madinah chini ya Mtume Muhammad (pbuh).
Wakristo ndio wameongoza katika mauaji ya halaiki ya wayahudi. Visigoths wameua sana wayahudi, Roman empire imeua sana wayahudi,Hitler ameua sana wayahudi. Ila huwezi kukuta ktk historia kumetokea mauaji ya halaiki ya wayahudi chini ya dola ya kiislam.
Ww mbona upo unasaport mauaji yanayo fanywa na Israel au hayo sio mauaji?fahamu kuwa walifanya/wanafanya mauaji hayo si kwa kujinasibu kuwa ni wakristo, wale ni wasekula hakuna ukristo hapo ni tofauti na waislam, mara utasikia islamic jihad, mara al quds, mara al qaeda. Mara al shabaab na hayo makundi yote ya wapiganaji vita wanajinasibu ni waislam, qur an yao wanaiweka sambamba na upanga/bunduki. Wapi ulisoma akina hitler, musolin na wale wapuuzi wa kimbari ya rwanda walijinasibu ni wakristo? Ukristo hauwasapoti wauaji,
Hamjawahi kuwa na chuki na wayahudi wakiti nyinyi ndo wenye historia ya kuwauwa na kuwatesa mamia ya miaka?Wakristo hawajawai kuwa na ugomvi na Myahudi hata siku moja... Hizo habari unazoleta ni kutaka tu kuwachonganisha wakristo nao waingie vitani na wayahudi...
Ila kiukweli hata kama wana chuki na wakristo, ila hawajawai kuwafanyia wakristo mambo ambayo nyie mnafanyiana nao...
Sasa kama nyie waislamu na wao wayahudi hamchukiani kwa nini mnapigana vita sasa, na kwa nini sisi wakristo tunaochukiwa hatuko vitani?
Wale wale wasio soma maanddikovna kuyaelewa bali akili wamekabidhi kwa akina MwamposaAlafu hata mimi nashangaa sana wakristo hasa wa africa wanavyopenda kujinasibisha na wayahudi wakati wayahudi wenyewe wanawachukia wakristo kuliko hata waislamu,,,
Nani kawatesa wayahudi....Hamjawahi kuwa na chuki na wayahudi wakiti nyinyi ndo wenye historia ya kuwauwa na kuwatesa mamia ya miaka?
Mbona huko huko kwenye nchi za uarabuni kumejaa wahamiaji kutoka Ufilipino, Vietnam, India, Latin America na Africa vipi na wao walikimbia nn kwenye nchi zao?Well kwa taarifa yako tu number one source ya ukuimbizi au wakimbizi ni vita.
Hao so called wahamiaji wote wamekimbia sababu moja tu, walipotoka kuna conflicts au kuna sheria kali mno zinazowanyima uhuru. Mostly ya nchi hizo ni za kiarabu
So swali je? Why wakitoka huko still wanakimbilia nchi zisizo na culture hiyo
Akifanya mkirsito ni sababu zake binafisi akifanya muislam hizo sababu binafisi hazipo bali uislam ndo unavyo sema.Nani kawatesa wayahudi....
Au unadhani kila Mzungu ni mkristo... Adolf Hitler aliwaua wayahudi kwa sababu zake binafsi zinazohusiana na taifa la Ujerumani na si kwa sababu ya Ukristo
Kama waislam wanavyotukuza Waarabu. Ni imani tu za vyanzo vya dini.Wakristo wanatukuza sana hawa Wayahudi sijui wananini cha zaidi
Hiyo Morocco na Tunisia sio mali za waislam... Hizo zilikuwa ardhi za Waafrika wa jamii ya Berber.... Hao waarabu wa huko Morocco unaowanasibu na kusema ni ardhi ya uislamu, hao ni wavamizi tu waliokuwa wanahama kutoka uarabuni kupitia misri na kuingia Afrika.Wayahudi wameishi ndani ya dola ya kiislam bila ya kuvughudhiwa kwa zaidi ya miaka 1000. Walipokuwa wakipigwa vita na utawala wa Visigoths huko ulaya katika karne ya 7 walikimbia na kuishi katika ardhi za waislam. Mpaka leo yapo mabaki ya wayahudi ndani ya Morocco,Tunisia n.k Mayahudi wameishi mpaka katika mji mtukufu wa Madinah chini ya Mtume Muhammad (pbuh).
Wakristo ndio wameongoza katika mauaji ya halaiki ya wayahudi. Visigoths wameua sana wayahudi, Roman empire imeua sana wayahudi,Hitler ameua sana wayahudi. Ila huwezi kukuta ktk historia kumetokea mauaji ya halaiki ya wayahudi chini ya dola ya kiislam.
Lini Ottoman ilisha uwa wayahudi na hiyo historia uliisoma wapi?Hiyo Morocco na Tunisia sio mali za waislam... Hizo zilikuwa ardhi za Waafrika wa jamii ya Berber.... Hao waarabu wa huko Morocco unaowanasibu na kusema ni ardhi ya uislamu, hao ni wavamizi tu waliokuwa wanahama kutoka uarabuni kupitia misri na kuingia Afrika.
Mbona hauzungumzii Ottoman Empire na mauaji ya wayahudi
israel walichokozwa, wanachofanya ni kuwatafuta wale waliohusika katika kuishambulia, israeli haitaki vita, inawatia adabu magaidiWw mbona upo unasaport mauaji yanayo fanywa na Israel au hayo sio mauaji?
Uarabuni wanakata kwenye makambi ya wa kimbizi ila ulaya wengine ni mawaziri kabisa nitajie mpalestina waziri au mbunge nchi yeyote ya kiarabu nikutajie rundo wapelestina wasio na shukran ulayaHebu tutajie nchi zinazo ongoza kuwahifadhi wakimbizi kutoka mashariki ya kati ili tuone kama ni kweli watu wanapenda kukimbilia ulaya.
Hata Hitra kipindi ana uwa wayahudi alikuja na visingizio kama hivyo, hakuna mtu aliye wahi kufanya mauaji bila kuwa na visingizio.israel walichokozwa, wanachofanya ni kuwatafuta wale waliohusika katika kuishambulia, israeli haitaki vita, inawatia adabu magaidi
Ww ni mpumbavu na huna elimu yeyote ile zaidi ya kujaa makamasi kichwani na ujuaji usio na maana.Uarabuni wanakata kwenye makambi ya wa kimbizi ila ulaya wengine ni mawaziri kabisa nitajie mpalestina waziri au mbunge nchi yeyote ya kiarabu nikutajie rundo wapelestina wasio na shukran ulaya
hao watoto wanarusha mawe kwa askari wa israel mitaani ni magaidi tarajali acha washughulikiwe. Kuhusu ardhi ni ya israel tangu kale mpaka wanasambaa mataifa mbalimbali ardhi ni yaoHata Hitra kipindi ana uwa wayahudi alikuja na visingizio kama hivyo, hakuna mtu aliye wahi kufanya mauaji bila kuwa na visingizio.
Kama Israel analipiza kilicho fanywa na Hamas vipi kuhusu yeye anaye uwa maelfu ya Wapalestina kila mwaka ,vipi kuhusu yeye kufunga watoto wadogo magerezani vipi kuhusu yeye anaye wanyanganya ardhi zao?
Na ww ipo siku mwenye nguvu kukuzidi atakuja kutumia visingizio vya uwongo kuku nyanganya haki zako zote na kukufanya uishi maisha kama shetani ndo akili zako zitakukaa sawa.
Hao watoto unao waita magaidi ipo siku utahitajika kuuonesha ugaidi wao mbele ya mungu wako.
Nimeanza kupata picha ni kwann nchi za Ulaya mashariki ziliupiga marufuku urokole kumbe urokole ni upunguani wa akili hata hapa nchini unatakiwa kupigwa marufuku.
Ndio maana nasema kuwa haya unayo yaongea yote ipo siku utayatolea maelezo mbele ya mungu wako, ili uje umuelezee mungu wako ni namna gani mtoto wa mwezi mmoja anaweza kurusha mawe.hao watoto wanarusha mawe kwa askari wa israel mitaani ni magaidi tarajali acha washughulikiwe. Kuhusu ardhi ni ya israel tangu kale mpaka wanasambaa mataifa mbalimbali ardhi ni yao
mpaka wale njiti walivyagiliwa! Usiilaumu israel laumu ndugu zako katika imani ndiyo walisababisha haya madhila kwa wapelestina wasiokuwa na hatia. Vita ni mbaya sana haijui cha mtoto wala mzee. Tatizo nyie wa imani yenu hiyo sijui nani kawaloga msiwe na fikraNdio maana nasema kuwa haya unayo yaongea yote ipo siku utayatolea maelezo mbele ya mungu wako, ili uje umuelezee mungu wako ni namna gani mtoto wa mwezi mmoja anaweza kurusha mawe.
Hao watoto unaoshabikia kuuawa mbele ya mungu ni wasafi tofauti na ww ambae mwili wako umejaa kila aina ya takataka na uchafu.
Ndo maana siku hivi taifa linazalisha wasomi wajinga na machawa wa ccm kumbe kwenye mfumo wetu wa elimu tumejaza takataka zaidi ya mavi kama ww uliye pata kazi ya ualimu kwa magumashi na ujanja janja.
Nchi haiwezi kuwa na waalimu aina yako alafu tutegee kuwa na wasomi wa maana na wenye tija kwa nchi ina bidi fangio la chuma lipite ili kufagia takataka kama nyinyi kwa afya ya elimu yetu.