Mbona DJ Khalid hajazingumza chochote kuhusu vita ya Palestine licha ya yeye kuwa Mpalestina

Mbona DJ Khalid hajazingumza chochote kuhusu vita ya Palestine licha ya yeye kuwa Mpalestina

Hao wanaokimbilia Iran, uturuki, Pakistan, jordan, Lebanon... Ni wale waarabu ambao hawana pesa ya kusafiria, au hawana documents kama passports, hivyo wanalazimika kukimbilia tu nchi jirani ili wapate hifadhi, lakini haimaanishi wanakimbilia nchi hizo kwa sababu wanazipenda.... Ni kama ilivyo kwa warundi kutokea burundi ambao wanaishi kambi za wakimbizi Tanzania... Hao hawana pesa au documents za kusafiria kwenda ulaya na Marekani.... Hizo nchi ulizitaja za kiarabu ni majirani wa nchi zinazopigana vita kila siku, hivyo raia wasiokuwa na uwezo ndio ukimbilia huko, mfano Iran na Pakistan ni jirani na Afghanistan, hivyo wakimbizi kutoka Afghanistan wengi ukimbilia huko. Uturuki, Labanon na syria uchukua wakimbizi wengi kutoka kwa jirani yao Syria ambako kuna vita za mara kwa mara. Pia Lebanon na Jordan zimepakana na Israel, hivyo wakimbizi wa Palestina wengine ukimbilia huko.

Ila kiukweli waarabu wengine hasa wenye pesa hawawezi kukimbiilia nchi za waarabu wenzao, wengi ukimbilia Marekani au USA. Ukiona muarabu kakimbilia kwa muarabu mwenzake juwa ni maskini hivyo pesa ya kusafiria hana.
Huna akili sasa hivi umebadilisha mada tena na sio watu kukimbilia Ulaya umehamia kwenye pass na hela, alafu ni lini mkimbizi akategemea pass kuingia ndani ya nchi yeyote hapa duniani?

Kabla ya vita kwenye nchi zao mbona hawakuwa wanatumia hizo fedha na passport zao kwenda Ulaya?

Hapa Tz si imejaa waarabu ,wahindi ,na wachina na kila siku wana zidi kumiminika hizo hela na pass wanazotumia kuja huku tz mbona hawaja zitumia kwenda Ulaya?

Vita ya Syria vilianza mwaka 2011 na watu walianza kukimbilia Ulaya mwaka 2016 mbona hujajiuliza hilo swali?
Wakimbizi walianza kuingia Ulaya baada ya nchi zote jirani na Syria kuzidiwa na wakimbizi mpaka wakashindwa kuwahudumia kutokana na uwezo mdogo wa kiuchumi wa nchi hizo, nchi pekee iliyo fungua mipaka na kuwarusu wakimbizi ni Ujerumani tu hakuna nyingine.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa kijografia ni rahisi kwa mtu aliyeko Syria na Iraq kwenda Ulaya kuliko kwenda kwenye nchi za GULF.
Kila mtu ana haki ya kuhamia popote pale duniani atakapo ona nisehemu nzuri ya kujipatia kipato la msingi atumie njia halali.

Ukienda mashariki ya kati imejaa mamilioni ya wahamiaji kutoka Ufilipino , Vietnam ,India, Africa na Latin America.

Ukienda Urusi imejaa wahamiaji kutoka asia ya kati na Ulaya mashariki.
Ukija Tz imejaa wahamiaji kutoka nchi zote za Africa mashariki ,hata ukienda somalia yenye vita utakuta raia kibao kutoka nchi nyingine tena wenye maisha yao mazuri wanaishi na kupiga mishe,na pia kuna raia kibao kutoka Ulaya huko huko wamesamba kwenye nchi za watu wengine ndivyo dunia ilivyo.

Hii tabia yenu ya kipuuzi ya kutukuza wazungu ya kwamba watacho kifanya ndo bora kuliko jamii nyingine inabidi muiache .
 
Wayahudi wameishi ndani ya dola ya kiislam bila ya kuvughudhiwa kwa zaidi ya miaka 1000. Walipokuwa wakipigwa vita na utawala wa Visigoths huko ulaya katika karne ya 7 walikimbia na kuishi katika ardhi za waislam. Mpaka leo yapo mabaki ya wayahudi ndani ya Morocco,Tunisia n.k Mayahudi wameishi mpaka katika mji mtukufu wa Madinah chini ya Mtume Muhammad (pbuh).

Wakristo ndio wameongoza katika mauaji ya halaiki ya wayahudi. Visigoths wameua sana wayahudi, Roman empire imeua sana wayahudi,Hitler ameua sana wayahudi. Ila huwezi kukuta ktk historia kumetokea mauaji ya halaiki ya wayahudi chini ya dola ya kiislam.
Cha kushangaza mazombi ya kirokole yanasema eti waisilam wana chuki na Wayahudi.
 
fahamu kuwa walifanya/wanafanya mauaji hayo si kwa kujinasibu kuwa ni wakristo, wale ni wasekula hakuna ukristo hapo ni tofauti na waislam, mara utasikia islamic jihad, mara al quds, mara al qaeda. Mara al shabaab na hayo makundi yote ya wapiganaji vita wanajinasibu ni waislam, qur an yao wanaiweka sambamba na upanga/bunduki. Wapi ulisoma akina hitler, musolin na wale wapuuzi wa kimbari ya rwanda walijinasibu ni wakristo? Ukristo hauwasapoti wauaji,
Ww mbona upo unasaport mauaji yanayo fanywa na Israel au hayo sio mauaji?
 
Wakristo hawajawai kuwa na ugomvi na Myahudi hata siku moja... Hizo habari unazoleta ni kutaka tu kuwachonganisha wakristo nao waingie vitani na wayahudi...

Ila kiukweli hata kama wana chuki na wakristo, ila hawajawai kuwafanyia wakristo mambo ambayo nyie mnafanyiana nao...

Sasa kama nyie waislamu na wao wayahudi hamchukiani kwa nini mnapigana vita sasa, na kwa nini sisi wakristo tunaochukiwa hatuko vitani?
Hamjawahi kuwa na chuki na wayahudi wakiti nyinyi ndo wenye historia ya kuwauwa na kuwatesa mamia ya miaka?
 
Hamjawahi kuwa na chuki na wayahudi wakiti nyinyi ndo wenye historia ya kuwauwa na kuwatesa mamia ya miaka?
Nani kawatesa wayahudi....

Au unadhani kila Mzungu ni mkristo... Adolf Hitler aliwaua wayahudi kwa sababu zake binafsi zinazohusiana na taifa la Ujerumani na si kwa sababu ya Ukristo
 
Well kwa taarifa yako tu number one source ya ukuimbizi au wakimbizi ni vita.
Hao so called wahamiaji wote wamekimbia sababu moja tu, walipotoka kuna conflicts au kuna sheria kali mno zinazowanyima uhuru. Mostly ya nchi hizo ni za kiarabu

So swali je? Why wakitoka huko still wanakimbilia nchi zisizo na culture hiyo
Mbona huko huko kwenye nchi za uarabuni kumejaa wahamiaji kutoka Ufilipino, Vietnam, India, Latin America na Africa vipi na wao walikimbia nn kwenye nchi zao?

Mtu ana akiamuwa kutoka kwenye nchi yake kwenda nchi nyingine haimaanishi kuwa ndani ya nchi yake kuna matatizo na ndio maana kuna watz wanao fikiria kuondoka Tz kutafuta maisha kwenye nchi zingine na wakati huo raia wa nchi hizo wana waza kuja Tz kutafuta maisha.

Kuna wahamiaji wanaingia Marekani lakini wakati huo huo kuna raia wa Marekani waondoka Marekani na kwenda kuishi nchi nyingine.
Wakati ww unawaza kwenda Dar kutafuta maisha baada ya kuchoshwa na maisha ya mkoani kuna mtu ana waza kuondoka Dar kurudi mkoani baada ya kuchoshwa na maisha ya dar.
Kila binadamu anaenda sehemu anayo ona inamahitaji ya kiuchumi anayo hitaji.

Narudia tena acheni tabia zenu za kutukuza wazungu kwenye mambo ya kijinga.
 
Nani kawatesa wayahudi....

Au unadhani kila Mzungu ni mkristo... Adolf Hitler aliwaua wayahudi kwa sababu zake binafsi zinazohusiana na taifa la Ujerumani na si kwa sababu ya Ukristo
Akifanya mkirsito ni sababu zake binafisi akifanya muislam hizo sababu binafisi hazipo bali uislam ndo unavyo sema.
 
Wayahudi wameishi ndani ya dola ya kiislam bila ya kuvughudhiwa kwa zaidi ya miaka 1000. Walipokuwa wakipigwa vita na utawala wa Visigoths huko ulaya katika karne ya 7 walikimbia na kuishi katika ardhi za waislam. Mpaka leo yapo mabaki ya wayahudi ndani ya Morocco,Tunisia n.k Mayahudi wameishi mpaka katika mji mtukufu wa Madinah chini ya Mtume Muhammad (pbuh).

Wakristo ndio wameongoza katika mauaji ya halaiki ya wayahudi. Visigoths wameua sana wayahudi, Roman empire imeua sana wayahudi,Hitler ameua sana wayahudi. Ila huwezi kukuta ktk historia kumetokea mauaji ya halaiki ya wayahudi chini ya dola ya kiislam.
Hiyo Morocco na Tunisia sio mali za waislam... Hizo zilikuwa ardhi za Waafrika wa jamii ya Berber.... Hao waarabu wa huko Morocco unaowanasibu na kusema ni ardhi ya uislamu, hao ni wavamizi tu waliokuwa wanahama kutoka uarabuni kupitia misri na kuingia Afrika.

Mbona hauzungumzii Ottoman Empire na mauaji ya wayahudi
 
Lini Ottoman ilisha uwa wayahudi na hiyo historia uliisoma wapi?
 
Ww mbona upo unasaport mauaji yanayo fanywa na Israel au hayo sio mauaji?
israel walichokozwa, wanachofanya ni kuwatafuta wale waliohusika katika kuishambulia, israeli haitaki vita, inawatia adabu magaidi
 
Hebu tutajie nchi zinazo ongoza kuwahifadhi wakimbizi kutoka mashariki ya kati ili tuone kama ni kweli watu wanapenda kukimbilia ulaya.
Uarabuni wanakata kwenye makambi ya wa kimbizi ila ulaya wengine ni mawaziri kabisa nitajie mpalestina waziri au mbunge nchi yeyote ya kiarabu nikutajie rundo wapelestina wasio na shukran ulaya
 
israel walichokozwa, wanachofanya ni kuwatafuta wale waliohusika katika kuishambulia, israeli haitaki vita, inawatia adabu magaidi
Hata Hitra kipindi ana uwa wayahudi alikuja na visingizio kama hivyo, hakuna mtu aliye wahi kufanya mauaji bila kuwa na visingizio.

Kama Israel analipiza kilicho fanywa na Hamas vipi kuhusu yeye anaye uwa maelfu ya Wapalestina kila mwaka ,vipi kuhusu yeye kufunga watoto wadogo magerezani vipi kuhusu yeye anaye wanyanganya ardhi zao?

Na ww ipo siku mwenye nguvu kukuzidi atakuja kutumia visingizio vya uwongo kuku nyanganya haki zako zote na kukufanya uishi maisha kama shetani ndo akili zako zitakukaa sawa.

Hao watoto unao waita magaidi ipo siku utahitajika kuuonesha ugaidi wao mbele ya mungu wako.

Nimeanza kupata picha ni kwann nchi za Ulaya mashariki ziliupiga marufuku urokole kumbe urokole ni upunguani wa akili hata hapa nchini unatakiwa kupigwa marufuku.
 
Uarabuni wanakata kwenye makambi ya wa kimbizi ila ulaya wengine ni mawaziri kabisa nitajie mpalestina waziri au mbunge nchi yeyote ya kiarabu nikutajie rundo wapelestina wasio na shukran ulaya
Ww ni mpumbavu na huna elimu yeyote ile zaidi ya kujaa makamasi kichwani na ujuaji usio na maana.

Kuna tofauti kati ya mkimbizi na muhamiaji

Mkimbizi ni mtu aliye kimbia vita na kwenda sehemu salama kwa muda na vita ikiisha anarudi alipo toka.

Muhamiaji ni mtu aliye hama kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa ajili za kiuchumi ,kikazi,kimakazi , kielimu na hao wapo kila nchi hapa duniani.
Mkimbizi anakaa kambini kwa sababu hajaja kwenye eneo hilo kuishi pale wala kufanya kazi au biashara au kujumuika na jamii iliyo mpokea bali amekuja kutafuta usalama kwa muda ,baada ya muda vita ikisha isha atarudi alipo toka.
 
Hata Hitra kipindi ana uwa wayahudi alikuja na visingizio kama hivyo, hakuna mtu aliye wahi kufanya mauaji bila kuwa na visingizio.

Kama Israel analipiza kilicho fanywa na Hamas vipi kuhusu yeye anaye uwa maelfu ya Wapalestina kila mwaka ,vipi kuhusu yeye kufunga watoto wadogo magerezani vipi kuhusu yeye anaye wanyanganya ardhi zao?

Na ww ipo siku mwenye nguvu kukuzidi atakuja kutumia visingizio vya uwongo kuku nyanganya haki zako zote na kukufanya uishi maisha kama shetani ndo akili zako zitakukaa sawa.

Hao watoto unao waita magaidi ipo siku utahitajika kuuonesha ugaidi wao mbele ya mungu wako.

Nimeanza kupata picha ni kwann nchi za Ulaya mashariki ziliupiga marufuku urokole kumbe urokole ni upunguani wa akili hata hapa nchini unatakiwa kupigwa marufuku.
hao watoto wanarusha mawe kwa askari wa israel mitaani ni magaidi tarajali acha washughulikiwe. Kuhusu ardhi ni ya israel tangu kale mpaka wanasambaa mataifa mbalimbali ardhi ni yao
 
hao watoto wanarusha mawe kwa askari wa israel mitaani ni magaidi tarajali acha washughulikiwe. Kuhusu ardhi ni ya israel tangu kale mpaka wanasambaa mataifa mbalimbali ardhi ni yao
Ndio maana nasema kuwa haya unayo yaongea yote ipo siku utayatolea maelezo mbele ya mungu wako, ili uje umuelezee mungu wako ni namna gani mtoto wa mwezi mmoja anaweza kurusha mawe.

Hao watoto unaoshabikia kuuawa mbele ya mungu ni wasafi tofauti na ww ambae mwili wako umejaa kila aina ya takataka na uchafu.

Ndo maana siku hivi taifa linazalisha wasomi wajinga na machawa wa ccm kumbe kwenye mfumo wetu wa elimu tumejaza takataka zaidi ya mavi kama ww uliye pata kazi ya ualimu kwa magumashi na ujanja janja.

Nchi haiwezi kuwa na waalimu aina yako alafu tutegee kuwa na wasomi wa maana na wenye tija kwa nchi ina bidi fangio la chuma lipite ili kufagia takataka kama nyinyi kwa afya ya elimu yetu.
 
mpaka wale njiti walivyagiliwa! Usiilaumu israel laumu ndugu zako katika imani ndiyo walisababisha haya madhila kwa wapelestina wasiokuwa na hatia. Vita ni mbaya sana haijui cha mtoto wala mzee. Tatizo nyie wa imani yenu hiyo sijui nani kawaloga msiwe na fikra
 
Back
Top Bottom