ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hitler aliua 6M, wacha kuwapa watu lawamaHamuwachukii wayahudi wakati nyinyi ndo mmewatesa wayahudi na kufanya maangamizi dhidi ya wayahudi?
Ukrisito ni amani wakati ndo wenye rekodi ya kufanya mauaji na maangamizi makubwa hapa duniani.
najua unawaza crusade/vita vya msalaba karne nyingi zilizopita, kwa sasa ni wapi maangamizi yamefanywa?Hamuwachukii wayahudi wakati nyinyi ndo mmewatesa wayahudi na kufanya maangamizi dhidi ya wayahudi?
Ukrisito ni amani wakati ndo wenye rekodi ya kufanya mauaji na maangamizi makubwa hapa duniani.
Uturuki ndio nchi yenye idadi kubwa ya wakimbizi duniani, kisha Ujerumani, Pakistan, Uganda na tano ni Urusi, acha maneno ya kuokotezahuoni ufaransa, ujerumani, uingereza, sweden, uholanzi, canada na marekani?
Sasa Hitra si alikuwa mkatoliki?Hitler aliua 6M, wacha kuwapa watu lawama
Asilimia 80, ya mauaji ambayo yalisha kufanyika hapa duniani yamefanywa na wanao jiita wakiristo.najua unawaza crusade/vita vya msalaba karne nyingi zilizopita, kwa sasa ni wapi maangamizi yamefanywa?
Wajerumani na ukatoliki wapi na wapi?Sasa Hitra si alikuwa mkatoliki?
Hao sio wakimbizi ni wahamiaji hasa wa kiuchumi na kila nchi ina wahamiaji ya kiuchumi hata nchini kwetu wamejaa pamoja na umasikini wa nchi yetu.Kwa sasa kama ni Mkimbizi kutokea nchi za Kiislam, unapewa hifadhi na hadhi ya ukimbizi nchi za Canada, Marekani, Ulaya na Scandinavia
Sasa ww usiye juwa kuwa Hitra alikuwa mkatoliki tukusaidieje?Wajerumani na ukatoliki wapi na wapi?
Wewe ni mpuuziNdio maana nimesema ualimu wako umeupata kimagumashi , yaani pamoja na ualimu wako umeshindwa hata kuingia kwenye mtandao wa shirika la wakimbizi duniani ukasach ukaona ni nchi gani zinazo wahifadhi wakimbizi wengi duniani?
Nchi zinazo ongoza kwa kuwahifadhi wakimbizi kutoka mashariki ya kati kwa mujibu wa shirika la wakimbizi duniani
(1)Iran
(2) Uturuki
(3) Pakistan
(4)Jordan
(5) Ujerumani
(6) Lebanon
Hizo ndo nchi zenye wakimbizi wengi kutoka mashariki ya kati ukiitoa Ujerumani nchi nyingine zote zilizo baki ni nchi za waislam.
Alafu ngoja ni kuelimishe unacho takiwa ni kutofautisha mkimbizi na muhamiaji, mkimbizi ni mtu aliye kimbia vita na kwenda kutafuta sehemu salama na vita ikiisha wanarudi nyumbani kwao .
Mhamiaji ni mtu anaye toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa sababu za kikazi,kibiasha,kimakazi,kimasomo,kiuchumi nadhani hao ndo unao usema.
Suala la uhamiaji barani Ulaya linatiwa chumvi na vyombo vya habari vya kimagharibi kwa ajili ya kuionesha na kuaminisha watu wajinga kama ww kuwa mataifa yao ni bora , lakini kiuhalisia wahamiaji wa kiuchumi wako kila nchi hapa duniani hata hapa Tz pamoja na usikini wake lakini wapo malaki ya watu kutoka mataifa mengine wameamia tz kwa sababu nilizo zitaja hapo.
Ukienda Kenya,Uganda , Somalia,nk ni razima utakuta raia kibao wa nchi nyingine wakiishi na kupiga mishe.
Ukienda UAE na Qtaar, Oman,Saudia kuna mamilioni ya raia kutoka nchi nyingine kwa sababu nilizo zitaja hapo juu.
Hakuna nchi hapa duniani isiyo kuwa na wahamiaji ila uhamiaji barani Ulaya unakuzwa na vyombo vya habari kwa misingi ya propaganda na kupenda kujikweza kwa wazungu .
Nyie wenyewe mnawatuliza sana. Mnaamini 100% ya manabii ambao ni Wayahudi.Wakristo wanatukuza sana hawa Wayahudi sijui wananini cha zaidi
Kijana Hitler alikuwa mkatoliki wakati analelewa nyumbani, alipokuwa kijana na kuweza kufanya maamuzi yake , ukatoliki aliona ni upumbavu na ni mambo ya wazee, ndio maana alitaka amalizane na wayahudi , kisha aje asafishe hiyo diniSasa ww usiye juwa kuwa Hitra alikuwa mkatoliki tukusaidieje?
Tena kuna nyaraka zilivuja mwaka jana zinazo onesha kuwa papa wa wakati ule alikuwa anajua mpango wa Hitra kuwaangamiza Wayahudi lakini akakausha.
Je akitokea mtu currently akakuuliza ndani ndani ya miaka 25 (25 years,1998-2023) vifo vingi vyenye mrengo wa kidini vimesababishwa na nini utaweza kumpa jibu sahihi?Asilimia 80, ya mauaji ambayo yalisha kufanyika hapa duniani yamefanywa na wanao jiita wakiristo.
Mkuu acha ubishi usio na maana Hitra alikuwa mkatoliki na alikuwa rafiki mkubwa wa tu wa papa.Kijana Hitler alikuwa mkatoliki wakati analelewa nyumbani, alipokuwa kijana na kuweza kufanya maamuzi yake , ukatoliki aliona ni upumbavu na ni mambo ya wazee, ndio maana alitaka amalizane na wayahudi , kisha aje asafishe hiyo dini
unazungumzia enzi za karne nyingi zilizopita hata uislam haujaja, enzi za mfalme constantine na hata kabla yakeAsilimia 80, ya mauaji ambayo yalisha kufanyika hapa duniani yamefanywa na wanao jiita wakiristo.
Dunia kama haikaliki ww sasa hivi unakaa dunia ipi?Je akitokea mtu currently akakuuliza ndani ndani ya miaka 25 (25 years,1998-2023) vifo vingi vyenye mrengo wa kidini vimesababishwa na nini utaweza kumpa jibu sahihi?
Labda miaka hiyo hao Wakristo walikuwa hawajajitambua vipi leo kina nani hawajitambui kama walivyokuwa wao wanaosababisha dunia isikalike?
ielewemitaa, post: 48955545, member: 196442unakurupuka, hatuongelei wakimbizi tunaongelea wahamiajiUturuki ndio nchi yenye idadi kubwa ya wakimbizi duniani, kisha Ujerumani, Pakistan, Uganda na tano ni Urusi, acha maneno ya kuokoteza
Kumbe mauaji ya mamilioni ya watu yaliyo tokea kwenye vita ya 1 na 2 dunia haya kufanywa na Wakristo?unazungumzia enzi za karne nyingi zilizopita hata uislam haujaja, enzi za mfalme constantine na hata kabla yake
Sasa hapa duniani kuna nchi isiyo kuwa na wahamiaji hapa duniani?ielewemitaa, post: 48955545, member: 196442unakurupuka, hatuongelei wakimbizi tunaongelea wahamiaji