Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?

Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?

Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?

Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
 
Yule ni mwamba.

Ingawa nae alifanya unyanganyi kwa kutumia task force.

Ila jamaa ni champion kwa miundombinu. Tena tungempa na hizi tozo aaaa..

In 10 yrs chuma alikuwa anaibadili hii nchi kuwa na miundombinu bora kabisa.

Afya, elimu, barabara na utawala. Apumzike kwa amani.
 
At what cost,acha ujinga.
 
Maza anatufanyizia sana,hii si sawa. Tunakamuliwa ili makada wake waendeshe maviieite.
 
Tumefikia hapa ajili yake. Bora Mungu kamuondoa mapema.
 
Ukimaliz kuuliza hilo swali jiulizw JK aliwezaje kuongeza mishahara ya watumishi na kutoa ajira kila mwaka alafu magufuli huyo huyo mpaka anafariki alitoa ajira 6000 tu tena kwa sababu ya Lissu.
 
Chadema walitwambia JPM ananyang'anya na kuwadhurumu wafanyabiashara kupitia sheria ya P. bargain kwa kuwabambikia kesi za Uhujumu Uchumi na kujenga ma flyovers. Mama kaachana na mbinu hiyo kaja na chanzo kipya na Kazi Inaendelea πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰
 
Alipora kwenye akaunti za matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…