Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

Alitoza kodi kubwa na kunyang'anya hela za wafanya biashara. Ambapo sasa zimepungizwa, ili kuiwezesha secta binafsi kukuwa na hivyo kutengeneza ajira nyingi kwa watanzania.

Lkn pia vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari walilazimishwa kuvinunua kwa Tsh. 10,000. Kwa kila mmoja.

Alianzisha tozo za kupiga mihuri ya mifugo yote nchini kwa kila ng'ombe Tsh. 3000. Ko wenye ng'ombe zaidi ya 500. Ziliwatoka nyingi.

Pia aliwatoza machinga Tsh. 20,000. Kwa kila mmoja kwa mwaka. Ambayo kwa sasa haipo.

Kuunganishiwa umeme kipindi hicho ilikuwa Tsh. 320,000, lkn sasa ni Tsh. 27,000.

KO HIVI NDIVYO VILIKUWA VYANZO VYA JPM NYAKATI ZAKE.
 
Umesahau ndo Rais aliyekopa zaidi na kuongeza deni la Taifa kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko Rais yeyote kwenye historia ya Tanzania
 
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?

Je kama alipata hizo pesa na kujega vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?

Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?

Je hakuna chanzo kingine cha
Unajua takwimu za deni la Taifa kipindi cha awamu ya 5?
 
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?

Je kama alipata hizo pesa na kujega vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?

Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?

Je hakuna chanzo kingine cha
Aliweza kwa sababu alipunguza wafanyakazi kwa issue ya vyeti,pia alibana matumizi kwa kuzuia safari za nje na ndani,alizuia semina na posho,pia aliwashushia mishahara wenye mishahara zaidi ya 15m pia alizuia ongezeko la mishahara kila mwaka ,alikusanya gawio kwa mashirika ndo maana aliweza
 
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?

Je kama alipata hizo pesa na kujega vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?

Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?

Je hakuna chanzo kingine cha
Alitumia unyang'anyi wa kiharamia sema wewe kajamba nani haukukugusa huo unyang'anyi, alipora wafanyabiashara wakubwa, task force ilifanya ujambazi wa wazi wazi.
Bora hii kila mtu anachangia(kama haziliwi lakini).
 
Jiwe ndio kaleta shida yote hii, kwanza upotevu mkubwa wa pesa 1.3b zilizomfukuzisha Professor Assad, kununua mindenge kwa cash ambayo kila mwaka inaingiza hasara tu, kuanzisha miradi isiyo na tija ie banda (uwanja)la ndege chato na kununua korosho kwa pesa za serikali kulitumia gharama kubwa ambazo sio za lazima
Kiujumla mama ushungi kakuta hazina hakuna kitu ndio maana akaja na mkwara wa special audit BOT kumbe jiwe kakwangua hela zote
 
alikopa sana kupita kiasi, akaacha kuajiri, akaacha kupandisha mishahara, mifuko ya kijamii akakomba,
Mbona huyu anakopa na bado unakamuliwa hata wewe kajamba nani?

Au hujasikia kama zimekopwa tililioni 2 huko?
 
Alitoza kodi kubwa na kunyang'anya hela za wafanya biashara. Ambapo sasa zimepungizwa, ili kuiwezesha secta binafsi kukuwa na hivyo kutengeneza ajira nyingi kwa watanzania.

Lkn pia vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari walilazimishwa kuvinunua kwa Tsh. 10,000. Kwa kila mmoja.

Alianzisha tozo za kupiga mihuri ya mifugo yote nchini kwa kila ng'ombe Tsh. 3000. Ko wenye ng'ombe zaidi ya 500. Ziliwatoka nyingi.

Pia aliwatoza machinga Tsh. 20,000. Kwa kila mmoja kwa mwaka. Ambayo kwa sasa haipo.

Kuunganishiwa umeme kipindi hicho ilikuwa Tsh. 320,000, lkn sasa ni Tsh. 27,000.

KO HIVI NDIVYO VILIKUWA VYANZO VYA JPM NYAKATI ZAKE.
Jipige kifuani mara tatu kisha useme mimi ni mpumbavu
 
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?

Je kama alipata hizo pesa na kujega vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?

Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?

Je hakuna chanzo kingine cha
Hi nchi akipewa Mwingulu mtakoma. Huko kote bado hwajafanikiwa tusubirie Kodi ya kichwa. Tozo haina muda bila kiu kukata. Leo amecheka tusubirie miezi mitatu mbele. Nadhani kikosi Cha mgambo kitaamshwa huko mitaani kusajili kila mtu mwenye simu.

Tunasubiria kwa hamu mnyonge mnyoni lakini haki yake ataitafuta.

Katiba mpya ni haki ya watanzania kwa wakati huu na wakati ujao.

Hi tozo inatia hasira na karaa sana. Kubadili mazoea pana shida.sana.
 
Haya yote wameyataka CDM, walituambia jamaa anakopa kimyakimya deni likapaa, walituambia jamaa anapora kwenye account za watu na makampuni hela wawekezaji wanakimbia, walituambia jamaa muongo anajenga majengo hayana dawa wala watalaam, walituambia jamaa haajiri, walituambia jamaa hapandishi vyeo wala mishahara...Wakatuambia jamaa anatuua kwa Covid hakuna lockdown wala chanjo na hashikiani na mataifa mengine wala kufuata measures za WHO, wakatuambi diplomasia ya nchi imekufa...

Sasa kaja mama anaupiga mwingi balaa, hakopi ila wananchi wote tunashirikiana kujenga nchi yetu woooote CCM, CDM, ACT nk....tunalipa tozo aka kodi ya uzalendo (TULIPE TU), mama katuletea Chanjo JJ kutoka USA, diplomasia sasa imekaa sawa, watu wanapanda vyeo sasa, mama anaajiri kila kukicha, mishahara katupa muda, nk nk nk nk nk...
 
Back
Top Bottom