Alitoza kodi kubwa na kunyang'anya hela za wafanya biashara. Ambapo sasa zimepungizwa, ili kuiwezesha secta binafsi kukuwa na hivyo kutengeneza ajira nyingi kwa watanzania.
Lkn pia vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari walilazimishwa kuvinunua kwa Tsh. 10,000. Kwa kila mmoja.
Alianzisha tozo za kupiga mihuri ya mifugo yote nchini kwa kila ng'ombe Tsh. 3000. Ko wenye ng'ombe zaidi ya 500. Ziliwatoka nyingi.
Pia aliwatoza machinga Tsh. 20,000. Kwa kila mmoja kwa mwaka. Ambayo kwa sasa haipo.
Kuunganishiwa umeme kipindi hicho ilikuwa Tsh. 320,000, lkn sasa ni Tsh. 27,000.
KO HIVI NDIVYO VILIKUWA VYANZO VYA JPM NYAKATI ZAKE.