Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Nakukumbusha tu kuwa mama naye jana wametoka kutangaza kuwa anakopa kitita cha Trillion 2.7.JPM alikopa mpaka akafika kikomo cha kukopa ndio mzigo aliotuachia 71 trillion za made no.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakukumbusha tu kuwa mama naye jana wametoka kutangaza kuwa anakopa kitita cha Trillion 2.7.JPM alikopa mpaka akafika kikomo cha kukopa ndio mzigo aliotuachia 71 trillion za made no.
Ujinga mtupu kwa miaka 6 afu humo ndani viko alivyokarabati yaani alikuta vinafanya Kazi na vile vipya aliviacha havijaanza Kazi mama kaajiri ,kaleta vitendea Kazi na vimeanza kutoa huduma.Vituo vya afya 460+ wapi na wapi?
Hila za uongo,huyo Rais alikopa kuliko kawaidaHao achana wanatafuta hila za uongo tu kwa JPM
Na bado mpaka tuwe Kama libya baada y kufa gaddaf picha ilyopo huhtaj kusmuliwa ndo kfuatachoHili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je hakuna chanzo kingine cha
Ulitaka nani akulipie wewe ule vya bure? Hapa kila mtu analipa kodi safi Sana,si mlikuwa mnashangilia wakati wanaporwa na kufilisiwa pesa zaoAli kamua matajiri ..ila uyu ana kamua maskini
Mwakabibi anafanya nini lupango? Sabaya na Makonda walitajilikia wapi? Hujui kitu kaa kimya weweUkiachana na yote hayo ila wizi ulipungua na upigaji katika kipindi cha anko
Serikali haiwezi kuacha kukopa ila ndio maana wanajitahidi kutumia tozo kugharamia baadhi ya miradi bila kukopa ,ukitegemea kukopa tuu hufiki .Nakukumbusha tu kuwa mama naye jana wametoka kutangaza kuwa anakopa kitita cha Trillion 2.7.
Inamaana Tanzania watoto wameanza kwenda form 1 mwaka huu tuu?Serikali haiwezi kuacha kukopa ila ndio maana wanajitahidi kutumia tozo kugharamia baadhi ya miradi bila kukopa ,ukitegemea kukopa tuu hufiki .
Umeambiwa mwakani kuna watoto zaidi ya 900k wanatakiwa kuanza shule unadhani pesa zinatoka wapi ?
Maswali ya kipumbavu usiniulize,elimu bila ada ndio imeanza kutema hivyo ,,kwani miaka yote hiyo idadi ilikuwepo?Inamaana Tanzania watoto wameanza kwenda form 1 mwaka huu tuu?
Acha ujinga wako na mama yenu mnarembua rembua amefuta Kodi rasmi nyingi ili mje muwazulumu wananchiMaswali ya kipumbavu usiniulize,elimu bila ada ndio imeanza kutema hivyo ,,kwani miaka yote hiyo idadi ilikuwepo?
Endeleeni kuzaana hovyo utaona moto wake huko baadae
Wewe ndio fala,kodi gani rasmi kafuta? Ndio lipa sasa tozo acha kulia Lia kama ke,hapo utajua anaerembua ni yeye au weweAcha ujinga wako na mama yenu mnarembua rembua amefuta Kodi rasmi nyingi ili mje muwazulumu wananchi
Fedha za watu benki ziliporwa,wenyewe wakabambikizwa uhujumu uchumi,DPP akawaingiza mkenge.Pesa nje nje.Wajasiliamali wanyonge unakumbuka kilichowakuta?. NA BADO!Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je hakuna chanzo kingine cha
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?

Tunaambiwa matajiri walidhurumiwa masikini tukaingia mkenge kuwatetea sasa masikini tunakamuliwa hakuna Tajiri anatutetea. Wanyonge muache viherehere
Nyie mambumbumbu ndio hamuekewi kuwa kuna wafanyabiashara waliporwa, kuibiwa na hata kudhulumiwa.Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je hakuna chanzo kingine cha mapato.
Tena ni bule kabisa Yaani..Yule ni mwamba.
Ingawa nae alifanya unyanganyi kwa kutumia task force.
Ila jamaa ni champion kwa miundombinu. Tena tungempa na hizi tozo aaaa..
In 10 yrs chuma alikuwa anaibadili hii nchi kuwa na miundombinu bora kabisa.
Afya, elimu, barabara na utawala. Apumzike kwa amani.
We makalio kaa kimya.Nyie mambumbumbu ndio hamuekewi kuwa kuna wafanyabiashara waliporwa, kuibiwa na hata kudhulumiwa.
Mkiambiwa haya yote yaliganywa na Magufuli mnakuwa wabishi kuamini.
Huwa nakufuatilia humu jamvini. Leo umepost uharo. Kwani alipokuwepo deni la taifa lilikuwa halilipwi? Kukopa ni tatizo kama mnakusanya na kulipa?Hizi kodi zote ni matokeo ya yeye kukopa kwa fujo ili kusaka political millage. Matokeo yake saa tumejikuta kwenye madeni makubwa yenye marejesho ya muda mfupi.