Mbona kumpata mwanamke wa kumtongoza kwangu imekuwa ngumu?

Kosa lako kubwa ni kuwa na mwanamke mmoja ndiyo maana unahaha sasa hivi.
Mzee mpaka sasa nishawai kuwa na wmwanamke mmoja, wanawake wawili kwa wakati mmoja, watatu, wanne, watano, mmoja nk.

Huezi ku maintaina maisha yote time always change mfano wewe leo unaweza kuwa na watatu few months later ukajiona una mmoja so haimaanishi instinct yako kuwa na mmoja. Na kuna time utakuwa Single kabisa.
 
Tafuta hela utanishukuru mbeleni rafiki
 
Badili dini, njoo dini ya kweli na usawa
 
Badili mazingira
 
Right woman hawaji kwenye right place nimpaka uwe una jaribu kuomba number sehemu yoyote ile na kwa mademu tofauti tofauti baada ya hapo ndio unaanza communication kupitia hapo sasa ndio utajua yupi sahihi kwako.
Natafuta Ajira
 
Achana na mambo za wanawake be gentleman kama huna nyumba , tafuta kiwanja , Jenga nyumba standard, ikiwa na bigger lounge, big tv , big music system with open kitchen, big fridge , big oven enjoy maisha yako . Nakuhakikishia yaan utawaza hizo mambo coz wadada wengi ni Wana gundu sana tena Hawa wa mtaani + ut.i sugu au tafuta Binti mzuri uweke ndani u enjoy maisha yako uyo ni wako milele
 
Tupo wengi kumbe
Usitongoze binti kwa mara ya kwanza nilazima utapigwa chini tu njia ya kwanza uwe unauthubutu wa kuomba number kwa demu yoyote unaemuelewa sehemu yoyote ile, tumia communication skills and confidence iwe kwenye daladala au any place then baada ya hapo tengeneza communication kwa wote ulichukua number chat nao kupitia hayo mazungumzo utajua tu yupi sahihi kwako. Hii ndio best way ya kupata manzi.
 
Unawekezaje nguvu kwenye wanawake mzee? Hela unayoipata umeridhika nayo au? Madem hata iwaje ni watu tu tena dhaifu sana, ukileta habari za kuwaangalia sana hawana habari na wewe. Wewe usiwe na habar nao focus na vitu vingine mkuu
 
Kama nimekuelewa, unataka mwanamke aje akwambie "kaka nimekuja unitongoze."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…