Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Acheni dharau kwa Lindi.
MRADI WA LNG unaotarajia kuanza muda si mrefu ndio unakwenda kubadilisha kila kitu.
Rais kaamrisha Airport iboreshwe
Chuo cha masuala ya Gas kitajengwa
UDSM nao washachukua eneo na soon wanajenga
Chuo cha Masuala ya Mahakama
Open University
Eneo la viwanda Kutokana na MRADI wa LNG. N.k
Sasa wewe bweteka na kuidharau Lindi, wenzako wanakwenda Lindi kuchukua maeneo na kuwekeza
Baada ya Dar, soon Lindi ndio inakwenda kuwa na kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi hapa Tanzania.
You know why? Huu MRADI wa LNG utajengwa km chache kutoka centre of the Town, hivyo mzunguko wa Pesa utaonekana Directly kwa wakazi wa hii Manispaa.
 
Mradi wa Gas ya Mtwara ulibadilishaje Maisha ya Mtwara mpaka leo?
 
Haswaaa wamwelaaa...
 

Itakuwa heri kama watapata miradi
 

kumbe we mtoto n mngoni ndo maana mambo yako “si mchezo”
 
Inshu sio location..hivi unaijua Ifakara iliko..lakini mbona inapiga hatua.

Kama kuna biashara watu watafika tu.

#MaendeleoHayanaChama
Wakazi wa Lindi siyo consumer wazuri wa bidhaa lakini pia mkoa huu una watu wachache sana. Hivyo hauwezi kuwa kuvutia kibiashara kwa mtu yeyote anayetaka kuwekeza.

Lakini pia mkoa huu hauna mwingiliano wa wageni kutoka sehemu zingine hivyo population yake ni kama homogenous hivi haina kichocheo cha mabadiliko.

Kwa experience yangu mkoa wowote ukikuta hauna wachaga, wasukuma, wakinga, na waha ujue hauna fursa za kiuchumi.

Hayo makabila yanajua Kunusa fursa za uchumi kuliko panya Magawa, Lindi haina hii sifa.
 
Barabara za kwenda vijijin ni mbaya sana na yale makorongo ukibugi tu umetumbukia

Kuna vijiji watu Wana kaa ata miaka kumi hawajaenda Lindi mjini sababu ya gharama ya nauli inayo changiwa na ubovu wa barabara..

Sema huu uzoefu wa viuno feni Sina[emoji16] sijawai kusononoka na binti yoyote kwenye ule mkoa, itabidi niende tena nikachukue huu uzoefu[emoji2]
 
Sayansi ya kuangalia makabila sio sahihi. Sababu hawa watu wamejazana mijini. Kwa waha, wachaga au wakinga kwenyew kuko ovyo. Kifupi eneo lenye 'rurality' (Ukijiji) haya mambo ya uchache wa fursa utayakuta tu. Na haya maeneo yamepigwa vizuri kabisa na "rural - urban migration". Wachaga wenyew hawawezi kuisimamisha moshi sabab y uchumi wa kilimo ulivyo
 
Et hendi to mauthi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida ni elimu. Hizi zimambo nyingine za Imani z inaletwa na tamaduni ya watu wa kule kushindwa kukubaliana na maisha ya kisasa(more resistant to modernity)
... Halafu wanakuja kupiga kelele baadaye walitengwa! Anyway, Lindi imetoa watu maarufu nchi hii; Simba wa Vita, First Lady, current PM. Kama naona Ruangwa itajitenga kuwa mkoa unaojitegemea maana hadi timu wana timu yao ligi kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…