Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
Tarime, Ngara na Missenyi hakuna uchawi. Uganga wa kawaida tu hawajui
 
NBS inautaja mkoa wa Ruvuma kuwa top ten katika mikoa tajiri nchini..

Sijui wanatumiaga vigezo gan wale

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
Tarime kuna uchawi?

Mkurya akawa mchawi labda wa kuunga sana?
 
Kwamba kuna migration ya manpower kwenda Dar na mtwara? Sio kweli, katoro na kahama ni miji iliyo katibu karibu na yote inakimbiza
Lindi shida kuu ni umwinyi na uvivu wa wenyeji
 
Mikoa kama hii ndio mitaji ya CCM sehemu kama haijaendelea hadi leo hii ujue wajinga bado wapo wengi.
 
Siyo kweli, hizo ni ngome za ile CUF ngangari ya zamani.

Waislamu kwenye siasa wanajitambuwa sana, huo ni ukanda wa waislamu.
 
Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
Misenyi kanyigo sijui ngara uchawi wap na wap??

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkoa wa Lindi hauwezi kuvutia kwa mtu yeyote kwa sababu za kutokuwa na fursa za uchumi. Hata wilaya zake zote zina sifa hiyohiyo.
 
Umwinyi na uswahili swahili wa hovyo hovyo kama ilivyo Tabora mjini, hata kwa bure hapana, maisha yakufatana fatana kama siafu hapana wakae tu na urozi sehemu kama hizo haukosekani
 
Mkoa wa Lindi hauwezi kuvutia kwa mtu yeyote kwa sababu za kutokuwa na fursa za uchumi. Hata wilaya zake zote zina sifa hiyohiyo.
Fursa zipo,inategemea na wewe tu
Field yako

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…