Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
Tarime, Ngara na Missenyi hakuna uchawi. Uganga wa kawaida tu hawajui
 
Nisiwacheke sana Lindi, maana mwenyewe kwetu hali ni hiyo hiyo japo kuna nafuu kidg. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena bora lindi watajivunia Bahari na bandari,. Sisi Ruvuma ni vumbi tyuuh. Sisi ndo tulikosea nn Dunia, sio kwa mkoa wetu khaaah.
NBS inautaja mkoa wa Ruvuma kuwa top ten katika mikoa tajiri nchini..

Sijui wanatumiaga vigezo gan wale

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
Tarime kuna uchawi?

Mkurya akawa mchawi labda wa kuunga sana?
 
Tatizo sio promotion wala sio sababu nyingine, hapo chanzo ni idadi ndogo ya wakazi, Lindi imezungukwa na miji iliyowekezwa zaidi kuliko yenyewe, Lindi iko karibu na Dar es Salaam, pia karibu na Mtwara miji ambayo ina uwekezaji mkubwa, hiyo inafanya vijana wa Lindi kuhamia huko, sio kwasababu Lindi hapafai, la hasha, ni kwasababu za kiushindani kuwa miji mingine ina mvuto zaidi watu kuhamia.

Hakuna mji unaokuwa kwa promotion hasa kwetu Afrika. Miji inakuwa kwasababu za kiasili kuwa ina uwekezaji mkubwa ndani yake.

Dar ni obvious ina uwekezaji toka zamani, Mtwara inatiliwa mkazo na Serikali, ndio maana inakuwa kuliko Lindi.
Kwamba kuna migration ya manpower kwenda Dar na mtwara? Sio kweli, katoro na kahama ni miji iliyo katibu karibu na yote inakimbiza
Lindi shida kuu ni umwinyi na uvivu wa wenyeji
 
Mikoa kama hii ndio mitaji ya CCM sehemu kama haijaendelea hadi leo hii ujue wajinga bado wapo wengi.
 
Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
Misenyi kanyigo sijui ngara uchawi wap na wap??

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hili ni kweli mkuu na ukitaka kujua umahiri wa mji, pita Tu mtaani uwaulize watafutaji ni mikoa ipi wanatamani kufika. Nina uhakika ni ngumu kuipata lindi

Hata Mimi lindi ni mkoa ambao hata kichwani haupo labda maisha yanipeleke. Ila kwa plan za kawaida Tu haipo
Mkoa wa Lindi hauwezi kuvutia kwa mtu yeyote kwa sababu za kutokuwa na fursa za uchumi. Hata wilaya zake zote zina sifa hiyohiyo.
 
Tuwe wawazi tu tatizo ni umwinyi na uchawi hapo Lindi. Sehemu yeyote ambako uchawi umetamalaki hainaga maendeleo.

Watu hawavutiwi kuja sababu mji hauna hamasa za kiuwekezaji. Asilimia kubwa ya wana Lindi wana kipato cha hand to mouth. Sasa nani atapeleka hela huko?
Umwinyi na uswahili swahili wa hovyo hovyo kama ilivyo Tabora mjini, hata kwa bure hapana, maisha yakufatana fatana kama siafu hapana wakae tu na urozi sehemu kama hizo haukosekani
 
Mkoa wa Lindi hauwezi kuvutia kwa mtu yeyote kwa sababu za kutokuwa na fursa za uchumi. Hata wilaya zake zote zina sifa hiyohiyo.
Fursa zipo,inategemea na wewe tu
Field yako

Ova
 
Back
Top Bottom