JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Siku zote najiuliza Kuna zao/mazao gani yanatoka huko Lindi! Samahani, naomba unijuze Kama unajua.Lindi, joto kali na ardhi ya magadi..... raia wamepaukaaa......karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote najiuliza Kuna zao/mazao gani yanatoka huko Lindi! Samahani, naomba unijuze Kama unajua.Lindi, joto kali na ardhi ya magadi..... raia wamepaukaaa......karibu
Tarime, Ngara na Missenyi hakuna uchawi. Uganga wa kawaida tu hawajuiWatu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
NBS inautaja mkoa wa Ruvuma kuwa top ten katika mikoa tajiri nchini..Nisiwacheke sana Lindi, maana mwenyewe kwetu hali ni hiyo hiyo japo kuna nafuu kidg. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena bora lindi watajivunia Bahari na bandari,. Sisi Ruvuma ni vumbi tyuuh. Sisi ndo tulikosea nn Dunia, sio kwa mkoa wetu khaaah.
Tarime kuna uchawi?Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
Lindi mjini pana chuo kikubwa tu cha VETA.... umewahi kusikia chuo gani Lindi; hata VETA sina hakika kama ipo.
Kwamba kuna migration ya manpower kwenda Dar na mtwara? Sio kweli, katoro na kahama ni miji iliyo katibu karibu na yote inakimbizaTatizo sio promotion wala sio sababu nyingine, hapo chanzo ni idadi ndogo ya wakazi, Lindi imezungukwa na miji iliyowekezwa zaidi kuliko yenyewe, Lindi iko karibu na Dar es Salaam, pia karibu na Mtwara miji ambayo ina uwekezaji mkubwa, hiyo inafanya vijana wa Lindi kuhamia huko, sio kwasababu Lindi hapafai, la hasha, ni kwasababu za kiushindani kuwa miji mingine ina mvuto zaidi watu kuhamia.
Hakuna mji unaokuwa kwa promotion hasa kwetu Afrika. Miji inakuwa kwasababu za kiasili kuwa ina uwekezaji mkubwa ndani yake.
Dar ni obvious ina uwekezaji toka zamani, Mtwara inatiliwa mkazo na Serikali, ndio maana inakuwa kuliko Lindi.
Ni kweli kabisa Ndugu mdauUkitaja Lindi nakumbuka vitu vinne.
Kariakoo ya Lindi.
Mudhihiri Mudhihiri.
Nchinga Sound.
Ilulu stadium.
Na Masoud Kipanya naye ni wa Lindi, sasa hivi ana sigida kwa swala tano.Kuna binti kule Clouds 360, anaitwa Kija Yunusu, amajitaidi kuipaisha Lindi kila anapopata nafasi. Hongera zake
Siyo kweli, hizo ni ngome za ile CUF ngangari ya zamani.Mikoa kama hii ndio mitaji ya CCM sehemu kama haijaendelea hadi leo hii ujue wajinga bado wapo wengi.
Unapozungumzia korosho ni Lindi na Mtwara.Siku zote najiuliza Kuna zao/mazao gani yanatoka huko Lindi! Samahani, naomba unijuze Kama unajua.
Misenyi kanyigo sijui ngara uchawi wap na wap??Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
Vipi kuhuhus Katavi?Ujue mmesahau na ruvuma
Mkoa wa Lindi hauwezi kuvutia kwa mtu yeyote kwa sababu za kutokuwa na fursa za uchumi. Hata wilaya zake zote zina sifa hiyohiyo.Hili ni kweli mkuu na ukitaka kujua umahiri wa mji, pita Tu mtaani uwaulize watafutaji ni mikoa ipi wanatamani kufika. Nina uhakika ni ngumu kuipata lindi
Hata Mimi lindi ni mkoa ambao hata kichwani haupo labda maisha yanipeleke. Ila kwa plan za kawaida Tu haipo
Kuna ufuta..mbaazi..korosho..mihogo.Siku zote najiuliza Kuna zao/mazao gani yanatoka huko Lindi! Samahani, naomba unijuze Kama unajua.
Uchawi ni jambo linalodumaza maendeleo sana.We si umeona Mmanyema Mondi kasanda kwa Konde Boy mtoto wa kusini [emoji3][emoji3][emoji3]
Umwinyi na uswahili swahili wa hovyo hovyo kama ilivyo Tabora mjini, hata kwa bure hapana, maisha yakufatana fatana kama siafu hapana wakae tu na urozi sehemu kama hizo haukosekaniTuwe wawazi tu tatizo ni umwinyi na uchawi hapo Lindi. Sehemu yeyote ambako uchawi umetamalaki hainaga maendeleo.
Watu hawavutiwi kuja sababu mji hauna hamasa za kiuwekezaji. Asilimia kubwa ya wana Lindi wana kipato cha hand to mouth. Sasa nani atapeleka hela huko?
Fursa zipo,inategemea na wewe tuMkoa wa Lindi hauwezi kuvutia kwa mtu yeyote kwa sababu za kutokuwa na fursa za uchumi. Hata wilaya zake zote zina sifa hiyohiyo.