Ukweli ni kuwa Mafundi wengi awajui jinsi ya kuezeka hizi aina ya paa! Tanzania ya sasa Vijana awataki somea fani yeyote..... wanapenda Short cut. Kuanzia kwenye ufundi magari,simu,Nyumba ndo kabisa unakuta fundi anaweka tiles Chooni maji ayaendiðŸ˜. Jirani yangu baada ya kubadilisha mafundi zaidi ya 2 na hasara juu.... nikamwambia juu ya fundi mbobezi wa kuezeka hizi paa(ni graduate wa Civil Eng) Nikampa no yake akamwita...alipopewa Bei akakataa akaendelea tafuta Mafundi Magumashi wa bei rahisi. Mpaka muda huu nnapoandika hapa Nyumba ipo aijapata fundi mzuri na wa bei chee.Waenga walisema BURE AGHALI. Mafundi wabobezi wapo tatizo wengi wetu tunapenda Kitonga