Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

Huyo Kagame wako anajivunia kuwa Rwanda kuongoza kwa usawa ya 50/50.

Hajui kuwa mvurugiko wa maadili huanzia hapo.

Ni kwamba anatengeneza tatizo na hayataki matokeo yake
 
Serikali ya CCM ishasema inaheshimu mikataba ya kimataifa iliyosaini ya kulinda haki za Binadamu, hivyo bas Serikali ya CCM haitaingilia masuala ya Ushoga na harakati zake ingawaje ukimuuliza mwanachama mmoja mmoja kibinafsi wanaupinga Ushoga.
 
Ulishindikana Kwa nani? Niogope? Seriously
Screenshot_20230307-101758_Google.jpg
 
King Kong III kama Serikali ( kupitia Wizara husika ) imekana Juhudi za RC wa Dar es Salaam juu ya Mapambano yake dhidi ya Mashoga na Ushoga kupitia hii attachment hapa bado tu Msimamo wa Tanzania juu ya Ushoga na Mashoga hujaujua tu?

Acheni tu Mvua ziache Kugoma, Jua liwe Kali kuliko Maelezo na Mikasa na Ajali mbaya na Kubwa ziendelee Kutokea nchini.

Tumeshalaanika.
 
Back
Top Bottom