Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

Hii mambo ya fifty_fifty yani 50/50 ndo inaharibu kizazi. Eti wanasema mwanaume na mwanamke wote ni sawa. Sasa kama ni sawa kwanini wanaume wasianze kuliwa kama wanawake?

Ndo wanapractise usawa, kwahiyo msiwadisi mashoga, maana hakuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke, wote ni sawa.
 
Back
Top Bottom