Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

King Kong III kama Serikali ( kupitia Wizara husika ) imekana Juhudi za RC Makalla wa Dar es Salaam juu ya Mapambano yake dhidi ya Mashoga na Ushoga kupitia hii attachment hapa bado tu Msimamo wa Tanzania juu ya Ushoga na Mashoga hujaujua tu?

Acheni tu Mvua ziache Kugoma, Jua liwe Kali kuliko Maelezo na Mikasa na Ajali mbaya na Kubwa ziendelee Kutokea nchini.

Tumeshalaanika.
Ilikua ni enzi za Mwenda zake
 
Nichukue nafasi hii pia Kumpongeza Rais wa Rwanda Kagame ambaye keshasema sehemu salama ya Shoga Kuishi ni Kaburini ila siyo Rwanda na kwa Wanyarwanda.

Kinachonishangaza ni kwamba Marais wa Afrika ninaowasikia Kukemea Vikali na Kupinga Ushoga katika nchi zao na Kukubali hata Kutengwa na Kunyimwa Misaada na Waratibu Wakuu wa Ushoga ( Wazungu ) ni Museveni ( Uganda ), Ruto ( Kenya ) na Kagame ( Rwanda ), ila Marais wengine na Mataifa yao sijawasikia na siwasikii?

GENTAMYCINE nawaomba nao wajitokeze Wakemee na Wapinge au kama labda wameshafanya Utafiti wao wa Kisiri na Kuambiwa kuwa huenda 85% ya Watu wa Mataifa yao ni Mashoga au muda mfupi ujao wanaenda kuwa Mashoga tafadhali wawaweke tu Wazi Watu Wao ( katika nchi zao ) husika ili Wazee wa Fursa tuanze Kujikita katika Kuwekeza na Mafuta mbalimbali yaletayo Ufanisi Kiutendaji.
acha tu ndugu yangu!!!!,,,,,,,,mimi watoto wangu nimewanunulia kaptula za bati na kufuli manake sielewe!!!!!
 
King Kong III kama Serikali ( kupitia Wizara husika ) imekana Juhudi za RC wa Dar es Salaam juu ya Mapambano yake dhidi ya Mashoga na Ushoga kupitia hii attachment hapa bado tu Msimamo wa Tanzania juu ya Ushoga na Mashoga hujaujua tu?

Acheni tu Mvua ziache Kugoma, Jua liwe Kali kuliko Maelezo na Mikasa na Ajali mbaya na Kubwa ziendelee Kutokea nchini.

Tumeshalaanika.

Tunaelekea kubaya sana inabidi tuwaige kina PK na Putin.
 
Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini?

Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
Kwani ushoga ni tofauti na dhambi nyingine!
Kila zama na ujinga wake! Tulivaa pekosi, raizoni, juliana, stokíng....viko wapj???
Yatakwisha hayo hakuna marefu yãsiyo na ncha...
 
Sio viongozi wote wana muda wa kupoteza kwenye issues ndogo ndogo zinazohusu watu binafsi
 
Mimi naona ili jambo linapewa kiki kisiasa wanataka kuamisha akili za watu kutoka kwenye mambo ya msingi..
 
Yule shoga huyu wa juzi wa Unguja nasikia amejiua. Au labda amekuwa suicided.(na viongozi wenye ghadhabu))
Kuhusu Ile kampeni ya kukamata mashoga( na majambazi wa madawa ya kulevya ya 2018) Makonda aliambiwa aache,kwamba sasa hivi hiyo siyo priority,at about the same time Uhuru Kenyatta like Kenya aliongea hivyo hivyo,,kwamba hilo jambo sasa siyo priority.
Angalia ilivyotokea distraction. Tulikuwa tunajadili serikali,kwamba labda kuna ugomvi baina ya viongozi,halafu imekuja habari ya mashoga. Inakuwa sasa hatujui kama serikali hii ina umoja au vipi. Au Chama(CCM,) kina umoja au vipi.
 
Watakuambia jukumu la kulinda jicho lako ni la kwako mwenyewe
 
Huyo Kagame wako anajivunia kuwa Rwanda kuongoza kwa usawa ya 50/50.

Hajui kuwa mvurugiko wa maadili huanzia hapo.

Ni kwamba anatengeneza tatizo na hayataki matokeo yake

Fear of unknown inakutesa sana,pole
 
Back
Top Bottom