Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

Ilikua ni enzi za Mwenda zake
 
acha tu ndugu yangu!!!!,,,,,,,,mimi watoto wangu nimewanunulia kaptula za bati na kufuli manake sielewe!!!!!
 

Tunaelekea kubaya sana inabidi tuwaige kina PK na Putin.
 
Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini?

Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
Kwani ushoga ni tofauti na dhambi nyingine!
Kila zama na ujinga wake! Tulivaa pekosi, raizoni, juliana, stokíng....viko wapj???
Yatakwisha hayo hakuna marefu yãsiyo na ncha...
 
Sio viongozi wote wana muda wa kupoteza kwenye issues ndogo ndogo zinazohusu watu binafsi
 
Mimi naona ili jambo linapewa kiki kisiasa wanataka kuamisha akili za watu kutoka kwenye mambo ya msingi..
 
Yule shoga huyu wa juzi wa Unguja nasikia amejiua. Au labda amekuwa suicided.(na viongozi wenye ghadhabu))
Kuhusu Ile kampeni ya kukamata mashoga( na majambazi wa madawa ya kulevya ya 2018) Makonda aliambiwa aache,kwamba sasa hivi hiyo siyo priority,at about the same time Uhuru Kenyatta like Kenya aliongea hivyo hivyo,,kwamba hilo jambo sasa siyo priority.
Angalia ilivyotokea distraction. Tulikuwa tunajadili serikali,kwamba labda kuna ugomvi baina ya viongozi,halafu imekuja habari ya mashoga. Inakuwa sasa hatujui kama serikali hii ina umoja au vipi. Au Chama(CCM,) kina umoja au vipi.
 
Watakuambia jukumu la kulinda jicho lako ni la kwako mwenyewe
 
Huyo Kagame wako anajivunia kuwa Rwanda kuongoza kwa usawa ya 50/50.

Hajui kuwa mvurugiko wa maadili huanzia hapo.

Ni kwamba anatengeneza tatizo na hayataki matokeo yake

Fear of unknown inakutesa sana,pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…