MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Nyie Sukuma Gang acheni manenomaneno, mfano ulitaka wazee wa Dar akawahutubiwe Chato?JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar.
Amehutubia wazee wa Dar juzi, amepokea hati za mabalozi Dar, Jumatano anaapisha wakuu wa mikoa Dar. Mwendazake shughuli Dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi Dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema Dodoma ndio mji mkuu?.
Tunamuomba Rais Samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama Hayati Magufuli.
Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Kakurudisha wewe na nani, rais anaweza kufanyia kazi sehemu yoyote ya nchi ndo maana kila mkoa na wilaya kuna ikulu ndogo...
FaizaKuna siku zingine Ikulu ilihamia Chato, usisahau hilo.
Afu Corona ikipamba moto anatimkia chato, akiwa huko anasema "tuchape kazi"..jiulizeni kwanini Jiwe alijisalimisha Dar wakati hali yake ilipokuwa mbaya.
..kwanini hakukaa hukohuko Dodoma alikoamuru kuwe makao makuu ya nchi?
Kama hoja ni hiyo basi hizo shughuli apeleke hata Njombe maana na kwenyewe ni TanzaniaNyie mnaokazania dodoma, hamna hoja ya maana
Kwan dar sio tz
Aende Songea basi akapigie show huko, mama anapenda Upwanipwani mnoKakurudisha wewe na nani, rais anaweza kufanyia kazi sehemu yoyote ya nchi ndo maana kila mkoa na wilaya kuna ikulu ndogo...
Ikitoka Chato ilitakiwa ihamie Karagwe. lkn Mungu ni mwema amekomesha matumizi mabaya ya Kodi zetuKuna siku zingine Ikulu ilihamia Chato, usisahau hilo.
Unataka aende kwenye ikulu ya Chato?JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar.
Amehutubia wazee wa Dar juzi, amepokea hati za mabalozi Dar, Jumatano anaapisha wakuu wa mikoa Dar. Mwendazake shughuli Dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi Dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema Dodoma ndio mji mkuu?.
Tunamuomba Rais Samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama Hayati Magufuli.
Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Shida kubwa ni ushabiki usio kuwa na maana. Huenda kuna watu wengi hawakupenda serikali kuhamia Dodoma. Na wengine ni viongozi wakubwa. Hivyo kuona mwendazake amenyamaza milele usistaajabu yanayotokea. Lakini muda ni mwalimu mzuri.
Hahahahha babu wewe!Dodoma kuna hospitali ya vichaa... Mama arudi Dar asije akacharazwa bakora na yule kichaa wa bungeni...
Tunataka Samia ahamie Chato kabisaJK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar.
Amehutubia wazee wa Dar juzi, amepokea hati za mabalozi Dar, Jumatano anaapisha wakuu wa mikoa Dar. Mwendazake shughuli Dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi Dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema Dodoma ndio mji mkuu?.
Tunamuomba Rais Samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama Hayati Magufuli.
Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Mekumisi binti asee...Hahahahha babu wewe!
Unafiki ni kufanyia shughuli za serikali ikulu ya Dar es Salaam au nyumbani kwa mama Chato?Hatumkatazi, atangaze tu yeye makao yake ni Dsm, aache unafiki na itupunguza gharama ya viongozi wote kuishi Dodoma wakati yeye yupo Dsm.