Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
Wakuu kwema…

Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.

Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.

Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.

Je tatizo ni nini haswa?
 
Azam wanamatangazo ya KONYAGI NA SMARTGIN WANADEAL NA VINYWAJ Vikali
 
Back
Top Bottom