Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Wewe jua tu waislamu hawapendi kuvitangaza vitu vitamu kama pombe na kitimoto, ila haiondoi maana kuwa walokole wabadilike , la sivyo wataonekana wehu tu kila siku.
We jamaa ulizaliwa kuchekesha watu🤣😂😂
 
Wakuu kwema…

Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.

Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.

Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.

Je tatizo ni nini haswa?
Vipi Agape TV,Redio Maria,Efatha TV,zinazomilikiwa na wakristo na kwrnye ukristo Pombe inaruhusiwa.........huko hawaweki hayo matanagzo?
 
Kwenye uislam Kuna clear cut........Pombe ni haramu,........na hatuwezi kumshangaa muislam yeyote yule anayesimamia huu msimamo
.........------enheeee kwenye ukristo=biblia imesema pombe sio haramu,kunyweni TU...................vipi redio maria,Efatha TV,Agape TV si waonyeshe Bure 24/7 matangazo ya pombe kwa manufaa mapana ya ukristo?
Hao watu wanafiki sana
Wanauza energy drinks, junk food na sumu zingine halafu wanaona soft beer ni haramu
 
Wakati wa Quran hapakua na mpira
Mtume WA Mungu angeshindwa nini kujua mpira, wakati alifunulia mambo yote yajayo
Alijua sayansi zote, michezo na Burudani
Allah angejiua mpira ni kitu kitukufu hakika angemfunulia mtume wake S.A.w
 
Kwenye uislam Kuna clear cut........Pombe no haramu,.........na hatiwezi kumshangaa muislam yeyote yule anayesimamia huu msimamo
.........------enheeee kwenye ukristo=biblia imesema pombe sio haramu,kunyweni TU...................vipi redio maria,Efatha TV,Agape TV,si waonyeshe Bure 24/7 matangazo ya pombe kwa manufaa mapana ya ukristo?
Kwaiyo wakemia wa Bakhresa wameshindwa kumwambia kuwa contents za energy drinks Zina madhara.?
Au kwakuwa zinampa pesa ndo halali
 
Kwenye uislam Kuna clear cut........Pombe ni haramu,.........na hatuwezi kumshangaa muislam yeyote yule anayesimamia huu msimamo
.........------enheeee kwenye ukristo=biblia imesema pombe sio haramu,kunweni TU...................vipi redio maria,Efatha TV,Agape TV,si waonyeshe Bure 24/7 matangazo ya pombe kwa manufaa mapana ya ukristo?
Hao watu wanafiki sana
Wanauza energy drinks, junk food na sumu zingine halafu wanaona soft beer ni haramu
 
Back
Top Bottom