Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Kwaiyo wakemia wa Bakhresa wameshindwa kumwambia kuwa contents za energy drinks Zina madhara.?
Au kwakuwa zinampa pesa ndo halali
Vipi mapadri wa BARAZA la maaskofu wameshindwa kujua biblia inaruhusu pombe na hio iwe fursa ya kuitangaza redio Maria?😀😃😄
 
Vipi mapadri wa BARAZA la maaskofu wameshidnwa kujua biblia inaruhusu pombe na hio iwe fursa ya kuutangaza redio Maria?😀😃😄
Parokiani wanapiga mvinyo
Na kila Jumapili kanisani tunapata divai
 
Mimi sijasema hivyo wala katu sitakaa usema uislamu ila huku Pakistan tunakula bangi kama kawaida , walokole nao kwa nyama kwa nyama sio haba 🤔
Pakistan uko ndo Kuna mwarabu anajielewa
 
Back
Top Bottom