Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
HeheheHuko si ni Jahannam kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheHuko si ni Jahannam kabisa
Katika matendo hayawezi kukifanya kitu kuwa haramu.1.Uharamu katika mavazi.
2.Uharamu katika matangazo ya vitu vya haramu kama pombe na kamari.
3.Uharamu katika kusababsha watu kuzembea ibada.
Allys bus kwaya hadi basiWe umeona wapi Basi limeandikwa MASHAALAH ndani ukakuta wana Play kwaya
Sasa mimi nauzungumzia mpira kama wanaocheza yanga au simbaKatika matendo hayawezi kukifanya kitu kuwa haramu.
Mpira kama mpira sio haramu uharahu wake utakuja pale ww binafisi utakovyo utumia huo mpira.
Hata kusali kunaweza kuwa haramu kwako kutokana na jinsi ulivyo itenda hiyo swala.
Wasafi je?Wasio weka matangazo ya pombe siyo tv ya Azam na mmiliki ambaye ni muislam, hata Arise and shine tv ambayo mmiliki wake ni mkristo sijawahi kuona tangazo la pombe.
Wewe unataka uislam wa kisasaKatika matendo hayawezi kukifanya kitu kuwa haramu.
Mpira kama mpira sio haramu uharahu wake utakuja pale ww binafisi utakovyo utumia huo mpira.
Hata kusali kunaweza kuwa haramu kwako kutokana na jinsi ulivyo itenda hiyo swala.
Mnafiki namba moja ni yule anaye muhukumu mwenzake bila kujitizama yeye.Mtu anajifanya hatangazi pombe ila ana kiwanda cha kuzalisha energy drinks, analipwa wafanyakazi 3000 Kwa siku, n.k Sasa huyo mtu kwanini tusimwite mnafiki
Ww sio muislam na huna elimu yeyote kuhusu uislamu na mtu mwenye akili huwa hajifanyi mjuaji kwenye vitu asivyo na elimu navyo.Wewe unataka uislam wa kisasa
Mtu alishushiwa kila kitu
Kama mpira ungekuwa na utukufu,
Mungu angemtuma mtume wake
Quran imeongelea tafiti ngumu za kisayansi na geography
Uislam imeongelea majira Kwa usahihi n.k
Well saidWewe unataka uislam wa kisasa
Mtu alishushiwa kila kitu
Kama mpira ungekuwa na utukufu,
Mungu angemtuma mtume wake
Quran imeongelea tafiti ngumu za kisayansi na geography
Uislam imeongelea majira Kwa usahihi n.k
Kwa nini unasema yeye si muislamuWw sio muislam na huna elimu yeyote kuhusu uislamu na mtu mwenye akili huwa hajifanyi mjuaji kwenye vitu asivyo na elimu navyo.
Nimemaanisha wanao msema mzee wa watu!Ulishapeleka tangazo ukakataliwa?
Sawa kiongoziKama wamiliki wa hayo makampuni hawapeleki tangazo la biashara yao Azam media unategemea litatangazwa kwa miujiza ? hapa si udini wala nini,mwenye kampuni la biyo beer hajawahi peleka tangazo lake katika studio za azam media. FULL STOP.
Hata wa simba na yanga utakuwa haramu kwako kutokana jinsi utakavyo utazama utavyo ushabikia.Sasa mimi nauzungumzia mpira kama wanaocheza yanga au simba
Bro ficha upumbavu wako kwenye mambo usiyoyaelewa vizuri. Acha mihemko ya kidini. Wewe na hao mabwana zako wote wabangaizaji tu hakuna dini hapo. Kifupi kabisa, hakuna tajiri hata mmoja duniani mwenye imani, ndio uje useme Africa. Ninyi mnafundishwa kamari haramu na mnashinda mnabet, au mnasapoti betting. Huyo bakhresa wako TV yake kila siku inapromoti SPORTPESA au hujui??? Au mpaka nikufafanulie kwa namna gani??? Acha upuuzi kwenye pesa hakuna dini...Kamari ipi anaweza acha kukoment upumbavu kwenye mambo usiyoyajua
Tukisema sisi analaumuBro ficha upumbavu wako kwenye mambo usiyoyaelewa vizuri. Acha mihemko ya kidini. Wewe na hao mabwana zako wote wabangaizaji tu hakuna dini hapo. Kifupi kabisa, hakuna tajiri hata mmoja duniani mwenye imani, ndio uje useme Africa. Ninyi mnafundishwa kamari haramu na mnashinda mnabet, au mnasapoti betting. Huyo bakhresa wako TV yake kila siku inapromoti SPORTPESA au hujui??? Au mpaka nikufafanulie kwa namna gani??? Acha upuuzi kwenye pesa hakuna dini...
Hakuna channel yoyote Ya Azam media inayotangaza Betting acha upumbavu na chuki za kichoko. Azam hana dili lolote na kampuni yoyote ya kubashiri.Bro ficha upumbavu wako kwenye mambo usiyoyaelewa vizuri. Acha mihemko ya kidini. Wewe na hao mabwana zako wote wabangaizaji tu hakuna dini hapo. Kifupi kabisa, hakuna tajiri hata mmoja duniani mwenye imani, ndio uje useme Africa. Ninyi mnafundishwa kamari haramu na mnashinda mnabet, au mnasapoti betting. Huyo bakhresa wako TV yake kila siku inapromoti SPORTPESA au hujui??? Au mpaka nikufafanulie kwa namna gani??? Acha upuuzi kwenye pesa hakuna dini...
Naona wanywaji na walevi kwenye huu uzi wamechafukwa🤣🤣🤣🤣Wakuu kwema…
Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.
Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.
Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.
Je tatizo ni nini haswa?