Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Watanzania ni kuku sana. Wewe unahusika vipi kama TV haionyeshi matangazo ya pombe? Pumbavu kabisa.
 
Kama wamiliki wa hayo makampuni hawapeleki tangazo la biashara yao Azam media unategemea litatangazwa kwa miujiza ? hapa si udini wala nini,mwenye kampuni la biyo beer hajawahi peleka tangazo lake katika studio za azam media. FULL STOP.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana na vijana wa aina yako wana mchango mdogo sana kwenye maendeleo ya taifa hili
 
Back
Top Bottom