Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Tatizo sio kusema ww bali tatizo ni kujipa haki kwenye maisha ya wengine.
Ukitazama engo ya unafiki kwa kuangalia biashara ya Baghareesa basi hapa duniani kila binadamu ni mnafiki.
Kwa sababu hakuna anaye ishi maisha ya ukamilifu hapa duniani.
 
Huko mitaani unapo shinda siunakuta na wanawake vichwa wazi ,wavaa vimini kwahiyo huwa unaenda umefumba macho?
Kwa hiyo hao wa mtaani mimi ninawataza wao au unataka kusema ni sahihi wachezaji kukaa uchi
 
Hakuna channel yoyote Ya Azam media inayotangaza Betting acha upumbavu na chuki za kichoko. Azam hana dili lolote na kampuni yoyote ya kubashiri.
Uwezo wako wa kujenga hoja na kuelewa ni mdogo unachoweza ni matusi tu, acha nikupotezee... Hata hujui nimeandika nini hata hujui unqjibu nini... Wakati tunasoma we ulishinda "chuo"... Ngoja waje wenzio...
 
Wakuu kwema…

Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.

Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.

Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.

Je tatizo ni nini haswa?
Mbona hamna tatizo, itakuwa labda hamna aliyepeleka tangazo la bia
 
Unafiki tu wanatangaza mipira, baikoko, siasa za uongo
Ila siku hizi channel zipo nyingi tu, na ving'amuzi vipo vingi tu. Ukiona VP uanachana tu na Azam, unaweza ikaangalia tu hata channel za king'amzi cha zuku
 
Ila siku hizi channel zipo nyingi tu, na ving'amuzi vipo vingi tu. Ukiona VP uanachana tu na Azam, unaweza ikaangalia tu hata channel za king'amzi cha zuku
Tutawarekebisha wanapokengeuka sio kuhama
 
We kweli Quran huijui,unauliza hadi kutia udhu kwenye Quran!!.. soma Quran achana na habari za abu hurayra mara ibn majah,utapotea
Nakuuliza ulijuaje vitendo vya swala kama vile rukuu,itidali na sijda bila hadith za mtume
 
Wakuu kwema…

Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.

Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.

Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.

Je tatizo ni nini haswa?
Ulipeleka tangazo lako la bia wakakukatalia?
 
Mmilikii amejitosheleza mkuu Hana njaaa ndogo ndogo za Hela ya Matangazo pombee ,sigara,Wala betting😀
Sasa mbona anaonyesha mechi za timu zilizo na matangazo ya Betting kwenye jezi
 
Mbona tangazo la Sportybet linaonekana UTV kila jumamosi?
 
Back
Top Bottom