Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Hata wa simba na yanga utakuwa haramu kwako kutokana jinsi utakavyo utazama utavyo ushabikia.
Mfano ww ukienda kununua jezi ya simba yenye nembo ya m bet tiyari ww unadhambi ya kuvaa nguo inayo tangaza kamari.
Hata ukiutazama itakuwa dhambi hakuna namna mpira huo utakuwa halali
 
Wakuu kwema…

Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.

Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.

Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.

Je tatizo ni nini haswa?
kwani lazima????????????????????
 
1.Uharamu katika mavazi.
2.Uharamu katika matangazo ya vitu vya haramu kama pombe na kamari.
3.Uharamu katika kusababsha watu kuzembea ibada.
Kuuza genge,duka, shule kuna hivyo vyote,utasema shule haram, kwenye mpira vazi gani haramu!!
 
Wakuu kwema…

Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.

Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.

Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.

Je tatizo ni nini haswa?
watu hawataki pesa za haramu
 
Back
Top Bottom