Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Tangazo la Sportybet mdhamini wa mashindano ya CAF huwa linaruka vizuri tu channel hizo.

Binafsi sijawahi kuona kipindi cha mapishi kwenye TV za kibongo kikihusu pishi la kitimoto hata TV za wala nguruwe!
 
Una uharamu ndani yake
Hata kilimo kinaweza kuwa haramu kutokana na jinsi ulivyo kifanya.
Mfano ukilima kwa kutumia madawa ili upate mazao mengi tiyari hicho kilimo chako kinakuwa ni haramu lakini haimaani kuwa watakao kinunua hicho chakula chako watapata dhambi.
 
Hakuna binadamu asiye mnafiki akiwemo wewe ndo maana unaogopa kuiba kwa sababu ni dhambi lakini huo ww ni mzinzi.
Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu.
Mtu anajifanya hatangazi pombe ila ana kiwanda cha kuzalisha energy drinks, analipwa wafanyakazi 3000 Kwa siku, n.k Sasa huyo mtu kwanini tusimwite mnafiki
 
Hata kilimo kinaweza kuwa haramu kutokana na jinsi ulivyo kifanya.
Mfano ukilima kwa kutumia madawa ili upate mazao mengi tiyari hicho kilimo chako kinakuwa ni haramu lakini haimaani kuwa watakao kinunua hicho chakula chako watapata dhambi.
Huenda ikawa kweli kwenye issue ya kilimo lakini kwenye issue ya mpira mtazamaji atapata dhambi
 
Back
Top Bottom