Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Wakuu kwema…

Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.

Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.

Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.

Je tatizo ni nini haswa?
Hiyo ni biashara binafsi huwezi kumpangia mtu cha kutangaza,ingekuwa TBC tungehoji.
 
Nch ina watu wa hvyo hii, watu wanataka ufanyavwanavyo taka wao. Tuna shindwa kuheshimu mambo ya watu wengine kabisa.
Kwahiyo hizo channel zikotangaza wewe unapata nini?
 
Back
Top Bottom