Siasa za kweli zipo channel ganiUnafiki tu wanatangaza mipira, baikoko, siasa za uongo
Al JazeeraSiasa za kweli zipo channel gani
Na ma-series ya vita na mauaji..Unafiki tu wanatangaza mipira, baikoko, siasa za uongo
Hao watu wanafiki sanaNa ma-series ya vita na mauaji..
Mbona anaweka ya kamari?Mmiliki ni Muislam unataka aweke Tangazo la Pombe
Azam wanamatangazo ya KONYAGI NA SMARTGIN WANADEAL NA VINYWAJ VikaliWakuu kwema…
Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.
Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.
Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.
Je tatizo ni nini haswa?
Dini yake inamruhusu atuuzie energy drinks zenye sumu zaidi ya bia kikubwa apate pesaDini yake inamruhusu asifanye ivo
Dini yake haituhusu mpira piaDini ya mmiliki haimruhusu kutangaza vitu ulivyovitaja
Halafu wanapromote mpira piaHao watu wanafiki sana
Wanauza energy drinks, junk food na sumu zingine halafu wanaona soft beer ni haramu