Magawio yalikuwa ya mchongo na siku hizi kuna kura kwa ulefu wa kambaCrdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu.
Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili .
Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....