DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Unafahamu hata Intel ni kampuni ya wapi?🤔Mchina amekuwa akinunua tech Israel kwa muda mrefu tu, na wala si kitu cha kushangaza.
Mojawapo ya tech hizo ni semiconductors. Kuna wakati Marekani na Urusi hufuata tech Israel, kwanini iwe ajabu kwa Mchina?
Exclusive: Israel's chip sales to China jump as Intel expands
Israel's exports of computer chips to China soared last year as Chinese companies bought more semiconductors made at Intel's Kiryat Gat plant.www.reuters.com
Kama wewe ni mtumwa usidhani wote ni watumwa acha kulinganisha visivyolinganishika, mbona ipo wazi kuwa wewe ni mtumwa wa mchina kuanzia jina unalotumia mpaka picha kwenye profile yako na hapo sijaongelea mawazo yako yenye ukunguMimi MTANZANIA sio Mbongo na Sina mapenzi na China bali nakubali utendaji kazi wao ni hivyo tu. WEWE NDIO MTUMWA WA MABWANA ZAKO ISRAEL
Intel ni kampuni ya Marekani.Unafahamu hata Intel ni kampuni ya wapi?🤔
Hana kitu kichwani huyo ispokua mavi ya kumezeshwa na wamagharibi, eti China inanunua technology Israel [emoji16][emoji16][emoji1787], mahaba yakizidi[emoji1787]Unafahamu hata Intel ni kampuni ya wapi?[emoji848]
Jina mjamaa wa kisasa asili yake imetokana na neno ujamaa wa kisasa ambaye muasisi wake ni mjerumani Great father KARL MAX na picha ya profile ni ya chama cha kijamaa cha kisovieti kwa hiyo mpaka hapo hakuna hata sehemu moja mchina anahusika🤣Kama wewe ni mtumwa usidhani wote ni watumwa acha kulinganisha visivyolinganishika, mbona ipo wazi kuwa wewe ni mtumwa wa mchina kuanzia jina unalotumia mpaka picha kwenye profile yako na hapo sijaongelea mawazo yako yenye ukungu
Kwa hiyo teknolojia yote ya I- Phone ni ya mchina?,teknolojia ya Volkswagen ni ya Rwanda?🤔Intel ni kampuni ya Marekani.
Mimi sizungumzii kampuni bali technology inayotumika. Development center kubwa zaidi ya Intel duniani inapatikana Israel, unafikiri ni kwa sababu gani?
Swali langu haujalijibu kama ambavyo mimi nimejibu la kwako. Development center kubwa zaidi ya Intel duniani inapatikana Israel, unafikiri ni kwa sababu gani?Kwa hiyo teknolojia yote ya I- Phone ni ya mchina?,teknolojia ya Volkswagen ni ya Rwanda?🤔
Mbona swali lako nimekujibu mkuu . Kuna njia nyingi za kujibu swali Mimi nazifahamu mbiliSwali langu haujalijibu kama ambavyo mimi nimejibu la kwako. Development center kubwa zaidi ya Intel duniani inapatikana Israel, unafikiri ni kwa sababu gani?
Israel ni mwanachama wa jumuiya ya kiislamu OIC,Kwanini wawe AU wakati wapo Middle East huko siwajiunge na waarabu huko,,kwanza hatuwataki wasijetulea balaa Africa hawachelewi kujigawia maeneo na kusema yao!
Pia usisahau muasisi Lenin kutoka russia. Na Uchina ilifwata sera za kijamaa kutoka russia kama ambavyo Tanzania ya nyerere ilifwata. pia embu angalia asili ya Karl Mark ni ya wapi.Jina mjamaa wa kisasa asili yake imetokana na neno ujamaa wa kisasa ambaye muasisi wake ni mjerumani Great father KARL MAX na picha ya profile ni ya chama cha kijamaa cha kisovieti kwa hiyo mpaka hapo hakuna hata sehemu moja mchina anahusika🤣
Ilikuwa ni ajira ya kudharaulika sana nyakati hizo inaanza sasaa wanabaki wanatoa macho tuu.Hawa jamaa wamamiliki makampuni ya kutengeneza Filamu pale Hollywood karibia yote....
Tuwachukie,tuwakatae,tuwabeze bado wataendelea kuwa juu tu
Kiwanda cha iPhone na development ama R&D center ya iPhone ni vitu viwili tofauti.Mbona swali lako nimekujibu mkuu . Kuna njia nyingi za kujibu swali Mimi nazifahamu mbili
i, Kujibu swali kwa kutoa jibu moja kwa moja
ii, Kujibu swali kwa kuuliza swali
Swali lako nililijibu kwa kuuliza swali [ Kwa hiyo kwa sababu sehemu kubwa ya kiwanda/kampuni ya Intel ipo Israel basi Israel ndio mmiliki wa teknolojia?].
- kwa hiyo kwa sababu sehemu kubwa ya kiwanda cha I-Phone kipo china basi china ndio mmiliki wa teknolojia ya I-Phone?
- Kwa hiyo kwa sababu kiwanda cha Volkswagen kipo Rwanda Basi Rwanda naye ni mmiliki wa teknolojia ya Volkswagen?
N.B: by the way branch/Viwanda vya Volkswagen duniani vipo nchi za U.S.A, China , Israel, Vietnam, Ireland, Vietnam n.k
Hata ww ukimiliki makampuni kama hayo utaitwa myahudi na ukitaka utapewa uraia huko, propaganda tuHawa jamaa wamamiliki makampuni ya kutengeneza Filamu pale Hollywood karibia yote....
Tuwachukie,tuwakatae,tuwabeze bado wataendelea kuwa juu tu
Itakuwa vema kama na sisi ukitupa huo ukweli ulioujua.Pole ndugu,hata Mimi mwanzoni nilihua Israel ni Taifa teule,lakini baada ya kuunua ukweli, Ile ni nchi ya kigaidi,hakuna cha uteule wala Mungu pale.
Kwahio na ww unaamini kuwa ni teule kweli [emoji23]Itakuwa vema kama na sisi ukitupa huo ukweli ulioujua.
OkHata ww ukimiliki makampuni kama hayo utaitwa myahudi na ukitaka utapewa uraia huko, propaganda tu
Wewe si ulisema profile na jina langu ni kutoka China au umekosa hoja ?🤔 Hayo yote ya china kujifunza falsafa za Kijamaa za kirusi yote hayo nayajua na pia kuhusu Nyerere pia nafahamu sijui lengo lako ni nini hasa maana ni Kama unanifundisha vitu ninavyovifahamu au unadhani mimi kujiita mjamaa wa kisasa nimejiita kimakosa?🤔Pia usisahau muasisi Lenin kutoka russia. Na Uchina ilifwata sera za kijamaa kutoka russia kama ambavyo Tanzania ya nyerere ilifwata. pia embu angalia asili ya Karl Mark ni ya wapi.