Mbona wanajikomba kwa Israel

Kwa hiyo teknolojia yote ya Intel ni ya muisrael na sio U.SA?🤔
 
Samahani hivi katika yale makabila yao 12 wewe upo kabila gani?🤔
 
Rudi darasani
 

Ashindwe kwenda taiwan akimbilie Israel, nitajie tech 5 ambazo israel anazo china hana.
 
Nchi 14 barani Afrika wamepinga Israel kuwa mwanachama wa AU ikiwemo TZ juzi kati,unahisi hizo nchi zote hawajui hilo jambo ni wewe tu ndie ujue ewe Mtumishi?
Umefikiri mbali sana. Fikiria kwenye jamii yako inayokuzunguka hayupo muisrael hapo. Hata tukipinga ukweli ni kwamba kuna watu wamebarikiwa na wengine wamelaaniwa. Kuna watu ukijumuika nao katika maisha ujue umeshakwama na kuna watu ukijumuika nao umeshafanikiwa.

1. Si kila aliye na macho yanaona lakini kuna baadhi wanaona.

2. Pia si watu wote tunaona umbali unaofanana; Kuna watu wanaona leo, wengine kesho na wengine kesho kutwa.
Labda swali rahisi sana kwetu sote ni kuwa huyu mtu aliyebuni smartphones aliiona leo yetu miaka mingapi nyuma?

3. Hivi unafikiri hao viongozi wa nchi hizo kubwa ni wajinga? na sviongozi wetu wa Afrika ndiyo waelevu? Hao viongozi mfano wachina wanaona mbele zaidi ndiyo maana pia wametutangulia kwa mambo mengi.
 
Kwa hiyo wewe mtu mweusi [ mwafrika ]umelaaniwa Ila huyo muisrael kabarikiwa huyu Mungu wa namna hii wenye ubaguzi ni Mungu wakipumbavu hajapata kutokea😡
 
Makabila 12 bila shaka yanawahusu Israel. Mimi nipo kwenye kabila za Tanzania.
Je na wewe ndiwe HOLOFERNE yule kamanda mkuu wa Mfalme NEBUKADNEZA
Mimi ni MTANZANIA mwafrika mwenye ngozi nyeusi hizo hadithi za watu wa mashariki ya kati hazinuhusu . Ndio maana nikakuuliza wewe ambaye unajihusisha nazo wakati hautambuliki hata kwenye 1 la hayo 12 ya waisrael🤣
 
Hakuna hata myahudi mmoja alouliwa na HITLER
Zilikua njama zakutafta sababu zawale UMBWA kupelekwa ME kama zinavyotafutwa sababu zakupelekwa tena mfano wa WAYAHUDI wengine pale RWANDA
Hamjaamka tuuu nahakuna siku EU na US imekua nauadui na ISRAEL
Bila ISRAEL hii DUNIA ingekua kama peponi yaaani !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo teknolojia yote ya Intel ni ya muisrael na sio U.SA?🤔
Teknolojia ya Intel inatokana na team ya wavumbuzi wengi ambao wanamiliki patents (hati miliki) za teknolojia walizovumbua. Hizo teknolojia zinavumbuliwa kwenye kampuni mbalimbali pamoja na Research & Development centers za Intel.

Kinachofanywa na Intel ni uwekezaji wa hizo R&D centers pamoja na ununuzi wa hizo tech ili kuzitumia kwenye bidhaa zake.
 
Nadhani unapaswa kuwa wewe ili huo utumwa wa mabwana zako Israel utoke
Ivi ivi unajua karl marx alikuwa ni myahudi!! Yaani mojawapo ya first thinker wa falsafa za ujamaa, falsafa zilizopitwa na wakati unazokomaa nazo zilizoachwa na Uchina na kumumiza Mrusi. Alafu alafu unawachukulia poa. Ni kama nyoka aliye mistake mkia wake na kuanza kuumeza.
 
Ashindwe kwenda taiwan akimbilie Israel, nitajie tech 5 ambazo israel anazo china hana.
Swali lako linakosa taarifa nyingi sana.

Tech zinavumbuliwa, zinawekewa patents, pia zinauzwa kila siku. Unaweza kuwa na tech ambayo hukuivumbua bali umenunua kwa mtu mwingine.

Patent ya kwanza ya USB flash drive ilikuwa ya Israel lakini leo karibu dunia nzima inatengeneza USB flash drives.

Swali lako lingekuwa sahihi sana kama lingeuliza kuhusu hati miliki ya tech na si kwa mtindo wa nani ana hiki ambacho mwingine hana.
 
China gani hiyo iliyoacha ujamaa?🤔 Labda ungeniambia Urusi ndio ningekuelewa
 
Kwa hiyo mmiliki wa teknolojia ya Intel ni muisrael?🤔
 
Kwa hiyo wewe mtu mweusi [ mwafrika ]umelaaniwa Ila huyo muisrael kabarikiwa huyu Mungu wa namna hii wenye ubaguzi ni Mungu wakipumbavu hajapata kutokea😡
Huyo Mungu na yule anayeamuru watu waue wenzao eti kumpigania ni yupi Mungu wa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…