DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Kwa hiyo teknolojia yote ya Intel ni ya muisrael na sio U.SA?🤔Kiwanda cha iPhone na development ama R&D center ya iPhone ni vitu viwili tofauti.
Kiwanda kinazalisha end products kutokana na technology ambayo inatoka mahali pengine. R&D center inafanya kazi ya utafiti ama uchunguzi na uvumbuzi wa bidhaa na teknolojia mpya.
Kama umeshawahi kutumia ama kuziona bidhaa za Apple kama iPhone, mara nyingi utakutana na maneno "Designed by Apple in California". China inafanya assembling tu.