Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

Inategemea na inabeba abiria wangapi na mambo mengine ya ndani. Hiyo bei inaweza fika.

Wajinga waliisha, hii kauli ingefanya kazi kama ingekuwa ni 1960-1990.

Usichokijua tu ni kwamba kuna taarifa kadhaa tu mtu anaweza kuzipata na akaona kila kitu kuhusu hilo gari bila hata kwenda hapo Ruvuma kuliona hilo gari.

Hivyo unapokua unaandika ujue hatupo zama za ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…