Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

1789852771798.png


USD90,562 kwatika shillingi za kitanzania ni TSh 239,677,766.72, kama litalipiwa kodi ya 40% basi gharama yote inakuwa Tsh 335,548,873.408
 
Coaster mpya Toyota inaanzia Milioni 250 kupanda,unaweza uka Argue hakuna ulazima wa Serikali yetu kutumia magari ya Kifahari, ila inawezekana kabisa hio gari kuuzwa hio bei

Source
Ina kodi Serikali gari zake zina exemptions toa kodi upate bei halisi usiweke bei ya kununua raia ndio maana mnachanganya hayo mafuta tu wao hawalipi kodi unazungumzia magari..
 
Kwa utetezi kama huu,Yutong tunaweza ambiwa ni billion na nusu
Wakileta hiyo bei si ushukuru Mkuu watakokotoa hesabu za kutoka China mpaka inawafikia wao ni 3B kwenda juu vitu vingi wananunua bei mara mbili juu yake..
 
Coaster la mil 334👇
Mi naona aibu huyo km ni katibu tawala wa mkoa wa Ruvuma huo ujasiri anautoa wapi kutaja hiyo bei? Tunaambiwa Yutong ni Milioni 250 si wangenunua basi kubwa km Yutong? Hiyo hela inajenga madarasa mangapi? Kuna ulazima wa kununua huo mkweche? Value for money iko wapi hapo? Ingekuwa kipindi cha Magu siyo mkuu wa mkoa, katibu tawala na wote waliohusika si kufukuzwa tu na wanakamatwa, hao majambazi, ni wezi ingekuwa China ni kuwaua hadharani. Wamemdharau sana huyu Rais Samia hata hawaoni aibu, hawaogopi kutaja hiyo bei. Swali walilazimishwa kununua hiyo Coaster?
 
Inategemea na inabeba abiria wangapi na mambo mengine ya ndani. Hiyo bei inaweza fika.
Mbona mlango wa choo umefungwa kwa matofali na jiko limewekwa mlango wa mkeka! Hiyo bei siyo labda kama pamoja na gharama za brekidauni kulifikisha hapo.
 
Kuna gharama za Upembuzi Yakinifu, Mchakato wa Tenda, Uchaguzi wa Gari, Manunuzi, Pacent za wapiga Sign, Usafiri, Rangi na Maandishi.

Tena hapo wamepunguziwa Bei ilitakia ifike M500 kabisa.
CCM OYEH..!!
 

Attachments

  • 6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    20.3 KB · Views: 7
Tufanye
Toyota Coastal ya Japan
Na
Coastal ya Yutong Mchina

Ukisema kwanini wasinunue Basi kubwa nadhani sio lengo lao kutafuta Basi kubwaa❌️

Gharama ya kuitunza iyo Coastal ya Mchina si utakimbia wewe😆

Gari ya Japan kwa Tanzania inasifa nyingi sana huwezi kuipambanisha na Mchina kwasasa❌️
 
Kama ni 0Km la 2025 kawaida sana hiyo bei.

Hayo ya 2003 tu yanauzwa 90M,unategemea nini kwa mwaka wa mbele?

Mchawi hapo tujue YOM.
 
Back
Top Bottom