Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

Keyword starting from, Ina maana 250M ni cheapest kabisa, kabla haijafanyiwa configuration yoyote, ukiweka siti 30, Bima, na makorokoro mengine gharama zinaongezeka,

Hata ukiangalia online coaster ikiwa Japan inafika $80,000 usd ama zaidi mpya, bado hapo Marine freight, faida ya mletaji etc. hio bei ni sawa.

Lalamika Serikali inanunua Magari ya kifaghari ila kusema coaster haiwezi kuuzwa hivyo si kweli.

Ama kama kuna mtu anajua somewhere coaster mpya kwa bei zetu hizi za Kitanzania aweke.
Mkuu mimi wala sijalalamika na wala sina sababu ya kulalamika nilichoongea hiyo bei sio sawa nanunua hayo matakataka ndio kazi yangu SA hakuna gari utaniambia bei nisiijue au parts yake maana ndio kazi yangu kila kukicha na kuyasafirisha kwa wateja Nchi zetu za SADC..
 
Boss hivi vitu siku hizi hata hatudanganyani,

Hio Toyota South Africa bei hio hio Rand zaidi ya Milioni na ni 24 seater,

Hizo za bei rahisi labda mtumba ila sio brand new toka Toyota wenyewe 0 mileage.
 
Ni kweli kabisa kwani ukiangalia bei kwa wakala wa Toyota Tz
Bei za Coaster mpya zinaanzia 253,338,587 kwa hapo ndio bei ya kuanzia
Kama hiyo Ina specifications za ziada basi kwa bei hiyo ni sawa

Tatizo ni Ushuru
Specs za ziada kwenye kubeba wafanyakazi asubuhi na kuwarudisha jioni?
 
Chura aka kizimkazi na CCM wako bize kuandika hukumu ya LISU.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Inategemea na inabeba abiria wangapi na mambo mengine ya ndani. Hiyo bei inaweza fika.
Aiseeee mkuu umetuaibisha sana sisi wana CCM kwa ulichoandika😀😀Hadi Mimi nimejikuta naiombea Elnino ije ituue wote nibaki Mimi na mke wangu tuzae kizazi kipya
 
Coaster la mil 334👇
Bi Urojo anaupiga mwingi.
👇🏾
Screenshot_20260920_151548.jpg
 
....kuleni kwa urefu wa kamba zenu....
Wamepewa ruksa!
Njaa za matumbo yao 100%. Uzalendo 0%.
Ndio maana wanatuteka, kututesa, kutunyanyasa na hata KUTUUWA ILI WAENDELEE KUFANYA HAYA!
Huku wakiwa wanalinda AMANI!
AMANI ya nani hiyo? Ya kwao.
 
Kwa pesa hyo si wangenunua youtong
Mln 280 inabeba abiria 45
Mln 320 inabeba abiria 65
Mln 380 inabeba abiria 200

Ova
Yutong utalitumia muda gani?..kitu cha mjapani huwezi linganisha na mchina,iwe pikipiki, pump ya maji au gari,Nina pikipiki Honda cg 125 ilitoka dukani 1990 na inapiga kazi mpaka leo,haojue,boxer ya mchina hudumu miaka mingapi
 
Boss hivi vitu siku hizi hata hatudanganyani,

Hio Toyota South Africa bei hio hio Rand zaidi ya Milioni na ni 24 seater,

Hizo za bei rahisi labda mtumba ila sio brand new toka Toyota wenyewe 0 mileage.
Rand milioni moja ni Tsh 170,000,000 au unadhani rand milioni moja ni Tsh 200m sipo kukudanganya nasema gari SA hazina bei hiyo tunayotajiwa huko iwe Toyota,Ford ranger au Navara shida unataka ligi mimi sipo kwenye Ligi mazee...
 
Serikali sera zake hununua gari jipya ,kama ni jipya kabisa bei ni 254m.
 
Na pia
Boss hivi vitu siku hizi hata hatudanganyani,

Hio Toyota South Africa bei hio hio Rand zaidi ya Milioni na ni 24 seater,

Hizo za bei rahisi labda mtumba ila sio brand new toka Toyota wenyewe 0 mileage.
[/QUO
Watanzania bhana mtu anasema gari SA inapatikana kwa bei ndogo unatafuta Ligi aisee kwa kugoggle punguza ushamba magari sio big ishu kama unavyodhania aisee ni vile mmebanwa na kodi kubwa ndio maana unahangaika kwa kugoggle leo nipo Gaborone jamaa kapigiwa simu Ford ya 2022 kapata kwa Pula 100,000 hii pesa haizidi hata 23m ya kitanzania na hapa zipo nyingi na gari harali kabisa mtu anatoa password wewe unahangaika na goggle...
 
Back
Top Bottom