cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
GOOGLE KILA KITU KIPO MTANDAONI....waulize Papera
Eeeeh nimekuuliza wewe ufanye hivyo.. 😅 Papera videnge au?Mie siendi tena kwani unafikiri silwenda... Tabu mimi sielewi haya kabisaaa
Nimeona picha ya mbele ni kama la Toyota hilo bus..
Peni angu winooo unaishia baada ya kuitingisha