Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

Ni kweli kabisa kwani ukiangalia bei kwa wakala wa Toyota Tz
Bei za Coaster mpya zinaanzia 253,338,587 kwa hapo ndio bei ya kuanzia
Kama hiyo Ina specifications za ziada basi kwa bei hiyo ni sawa

Tatizo ni Ushuru
Serikali haijilipi ushuru,
 
Introducing the all-new Toyota Coaster 30-seater bus. Now available for the very first time in Tanzania, this sleek and contemporary vehicle is making a big impact in the midi-bus category. Built for comfort and convenience this passenger vehicle offers more space, value, and utility to all.
Starting from: TZS 253,338,587
 
Inategemea na inabeba abiria wangapi na mambo mengine ya ndani. Hiyo bei inaweza fika.
Chawa ni mdudu mbaya sana. Hapa umeunga mkono coaster kununuliwa kwa bei ya basi kubwa la abiria lakini ikatokea kiongozi let say waziri akasema haiwezekani coaster hiyo kununuliwa kwa bei kubwa kama hiyo utampongeza tena waziri.

Yaani chawa haeleweki lengo ni kutekenya ama kuumiza.
 
Introducing the all-new Toyota Coaster 30-seater bus. Now available for the very first time in Tanzania, this sleek and contemporary vehicle is making a big impact in the midi-bus category. Built for comfort and convenience this passenger vehicle offers more space, value, and utility to all.
Starting from: TZS 253,338,587
Wakahamisha hiyo 253 ya mwanzo ili figure isomeke wamepewa discount
 
Nilivyo nimeenda mtandaoni kujionea bei za kama hiyo.. Peni yangu inaisha wino siwezi andika zaidi...
Brand new, kumbuia siyo used. Tuwekee tulinganishe
 

Attachments

  • IMG-20260920-WA0003.jpg
    IMG-20260920-WA0003.jpg
    59.7 KB · Views: 8
Ina kodi Serikali gari zake zina exemptions toa kodi upate bei halisi usiweke bei ya kununua raia ndio maana mnachanganya hayo mafuta tu wao hawalipi kodi unazungumzia magari..
Keyword starting from, Ina maana 250M ni cheapest kabisa, kabla haijafanyiwa configuration yoyote, ukiweka siti 30, Bima, na makorokoro mengine gharama zinaongezeka,

Hata ukiangalia online coaster ikiwa Japan inafika $80,000 usd ama zaidi mpya, bado hapo Marine freight, faida ya mletaji etc. hio bei ni sawa.

Lalamika Serikali inanunua Magari ya kifaghari ila kusema coaster haiwezi kuuzwa hivyo si kweli.

Ama kama kuna mtu anajua somewhere coaster mpya kwa bei zetu hizi za Kitanzania aweke.
 
Coaster la mil 334👇
Nimegoogle na kupata Bei hii kwa basi mpya la Yutong:: :A brand new standard Yutong bus starts at an indicative price of $83,500 CIF Dar es Salaam port, according to official details from the Yutong Bus Company Tanzania."
 
Back
Top Bottom