coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 4,794
- 5,411
Hapana kuwa 'Mnjilinji' naona umuhimu wa kuhoji.😀😀bombiii nyumbiii......hahahahaaa
Hapana kuwa 'Mnjilinji' naona umuhimu wa kuhoji.😀😀bombiii nyumbiii......hahahahaaa
Kuna jamaa hapo juu kasema CCM pekee ndiyo wataamini hiyo gharamaInategemea na inabeba abiria wangapi na mambo mengine ya ndani. Hiyo bei inaweza fika.
Yamerudi yaleyale ya picha ya twiga kwenye ndege ya atcl .jpm alimuona nao leo ni soko holela.Kuna gharama za Upembuzi Yakinifu, Mchakato wa Tenda, Uchaguzi wa Gari, Manunuzi, Pacent za wapiga Sign, Usafiri, Rangi na Maandishi.
Tena hapo wamepunguziwa Bei ilitakia ifike M500 kabisa.
CCM OYEH..!!
Kuna jamaa hapo juu kasema CCM pekee ndiyo wataamini hiyo gharamaInategemea na inabeba abiria wangapi na mambo mengine ya ndani. Hiyo bei inaweza fika.
Ukiona hivo alinyimwa mgaoHaina tofauti na mabashite wawili wanaoshindania jezi za timu ya taifa.
Ni kweli kabisa kwani ukiangalia bei kwa wakala wa Toyota TzInategemea na inabeba abiria wangapi na mambo mengine ya ndani. Hiyo bei inaweza fika.
Watu wamenibishia bila kuwa na ushahidiCoaster mpya Toyota inaanzia Milioni 250 kupanda,unaweza uka Argue hakuna ulazima wa Serikali yetu kutumia magari ya Kifahari, ila inawezekana kabisa hio gari kuuzwa hio bei
Source
![]()
MAmbo ya gov procurement, bei hupanda maratatu. Imagine coaster ni expensive kuliko utongCoaster la mil 334👇
Mama yao ndio hiyo wala hajali chochote yeye ilimradi umpe misifa tuAisee hii nchi inaliwa! Kwa kitu gani cha ajabu hadi inunuliwe kwa bei mbaya kiasi hicho!
Au sio?Inategemea na inabeba abiria wangapi na mambo mengine ya ndani. Hiyo bei inaweza fika.
Mchina fala sana uyu. Ilikua $200 Mil, kakaa nazo tu. Yaani Tril 500+
350MZong tong au youtong au higher sh ngp mpya
Bei ya kawaida sana mbona?Coaster la mil 334👇