Nimesema zaidi ya Rand milioni 1, si data zipo kwenye link nimekuwekea? 24 seater ni 1,219,000 ambayo inafika milioni 200 huku kwetu, hawajaweka bei ya 30 seater ambayo itazidi hapo, eka faida na mambo mengine ya kiserikali inafika hio 300M.
Ungeweka na wewe link ya hizo coaster za bei rahisi mpya ama sema zinapatikana wapi tuzisearch.