Hahhhah eti "fear of unknown"..sikupingi mkuu!!Watu wanahofia "fear of unknown."
Inaelekea una vitu vingi sana wewe.Mimi huwa nahama wiki nzima. Nabeba vitu tararibu mpaka vinaisha.
Duh sasa unafanya hivyo ukiwa unahamia sehemu yenye umbali gani? Usafiri je? Au unabeba kwa kichwa au kwenye daladala? Hebu tufafanulie mkuu๐๐๐๐Mimi huwa nahama wiki nzima. Nabeba vitu tararibu mpaka vinaisha.
Vitu vingi wapi? Itakuwa anabeba kichwani huyo...ukiona hivyo hamna cha gari hapo..seriously, wiki nzima?๐Inaelekea una vitu vingi sana wewe.
Mimi mida yangu ya kuhama ni kati ya saa 10 jioni mpaka saa 2 usiku.
Weee pambana naye wewe mwanaume mwenzie mimi simuwezi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu ugomvi nakuuzia bibiye
๐๐๐imegusa penyewe.....hebu tupe Mdokezo kidogo mkuuNikiiona hii post, na yaliyojili leo. Acha tuu
GODORO. Hatupendi likaonekana kwani limechoka na ramani kibao.Kwa experience yangu na ya nyie wengine humu Jf na huko mtaani, tumezoea watu wengi wanaohama makazi/nyumba au vyumba vyao huhama wakati wa usiku....je kuna kipi nyuma ya pazia kwa raia kutumia usiku kuhama na si mchana?.......
Sio vizuri kuchochea Ugomvi halafu referee ukakaa pembeni wachezaji waanze kuchezeana rafu๐๐Weee pambana naye wewe mwanaume mwenzie mimi simuwezi![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja niondoke zangu kabisa, sitaki nishuhudie ugomvi wenu[emoji1380][emoji1380][emoji1380]Sio vizuri kuchochea Ugomvi halafu referee ukakaa pembeni wachezaji waanze kuchezeana rafu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila niseme kweli, juz kwenye mishale ya saa nne usiku kuna jamaa anahama sijui anakwenda wapi, da! kwa magodoro yale wacha ahame usiku tu
Hapo umewazungumzia watu wa Masaki, Mbezi Beach, Oysterbay na Mikocheni hukoo.....tembelea usiku maeneo ya huko Tandale, Buguruni, Tandika, Manzese, Mburahati na kwingineko kwa namna hiyo uone namna magari yanavyopishana na mizigo ya samani za wanaohama!!!!....GODORO. Hatupendi likaonekana.
bora aisee๐๐kamalizie kubeba zile samani zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja niondoke zangu kabisa, sitaki nishuhudie ugomvi wenu[emoji1380][emoji1380][emoji1380]
Asee kuna kadada kameamsha night bile kuaga landlord, afu kamesepa na hela. We acha tuu๐๐๐๐๐๐๐imegusa penyewe.....hebu tupe Mdokezo kidogo mkuu
Gari ya kukodi trip moja inabeba vitu vikubwa. Vingine nahamisha mwenyewe taratibuDuh sasa unafanya hivyo ukiwa unahamia sehemu yenye umbali gani? Usafiri je? Au unabeba kwa kichwa au kwenye daladala? Hebu tufafanulie mkuu๐๐๐๐
No napunguza stressInaelekea una vitu vingi sana wewe.
Mimi mida yangu ya kuhama ni kati ya saa 10 jioni mpaka saa 2 usiku.
Duh sasa unafanya hivyo ukiwa unahamia sehemu yenye umbali gani? Usafiri je? Au unabeba kwa kichwa au kwenye daladala? Hebu tufafanulie mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]