Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
HahahahaMkuu hapo kuna mambo mengi, isipokua hakuna sababu moja ya msingi inayowafanya watu wapende kuhama usiku.
Mfano kuna wengine hawataki kujulikana kua wanahama, wengine ni imani za kishirikina zinawasumbua, wengine hawataki vyombo vyao vya ndani majirani wavione, wengine wanakuaga na madeni kwahio wanaamua kuhama usiku ili majirani wasije kuwapa taarifa wanaomdai na mengineyo mengi.
Sababu ya maana ipoHakuna sababu ya maana ..
Traffic mtu anahama na toroli.wanakwepa Traffic bara barani... kirikuu kinasimamishwa sana na kinatozwa hela na wazee wa fedha