Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Wanaibiwaje hivyo bila kukamata wezi?
 
Huu utaratibu wa kuhama nyakati za usiku ni nani aliuanzisha. Kwanini utaratibu wa kuhama usiku unapendwa sana na Watanzania wengi hasa wa huku uswahilini? Nini siri ya utaratibu huu? Karibuni kwa mjadala...View attachment 1146059
Cha kwanza kabla ya kutaja vingine vyote ni Godoro,kwa kweli nilichogundua ni watu wachache sana wana utaratibu wa kuvisha au kubadilisha macover ya magodoro...
 
Afadhali waotee ila wajue kabisa mle ndani kuna 60" lazima watakulamba
 
Mi nilihama mchana SAA 8 jua kaliiii[emoji2][emoji2][emoji2], nilipohamia nikakaa siku moja iliyofuata nikapata safari ya kikazi, usiku huo wakaja wenye Mali wakazoa kila kitu[emoji38][emoji38]
Niliporudi, m/ kiti wa mtaa akaniambia, Mama wewe mwenyeji wa wapi? Watu huwa hawahami mchana unajichoresha, waliokuibia walikuona cku una hamia[emoji2][emoji2]
 
Mie nilikua nahama asbh au mchana..kwasababu nna watoto yann nitese wanangu kumuogopa kibaka
manengelo soma hio?
 
Bachelor-godoro,kitanda, subwoofer,kabti mchina,sofa ya watu 2,feni,bag la nguo (kadeti za kila rangi),shoe rack,tv, laptop,funguo extra wa Toyota,jiko+mtungi, na soksi(zilizofutiwa zilizokakamaa za punyet*)

Spinster-Godoro,kitanda cha chuma,kabati la zipu la pink au fomeka,stendi ya mabeg,dressing table,Vyombo,Jiko+mtungi,jaba,shoe rack,tv +king'amuzi,feni,shangazi kaja ya mawigi na nguo ambazo hajazivaa na hatazivaa na hatazigawa,Mabeg matano ya nguo,kapu la nguo chafu,Fimbo za pazia(hawaachagi kitu),biblia yenye vumbi,midoli,tomato sauce,simu mbovu 2 (smart),miwani ya 3D,vidonge vya P2 na vichupio.

Lakini vyote hivi kilikuu moja inatosha.
 



Duuu huyu umenilenga mimi haswa hapo shangazi kaja nguo nisizozivaa but nazigawa mimi... Huko kwenye madawa sipo na midoli pia ha ha ha ha fimbo za pazia naziona na kitanda cha nini umesema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…