ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Usumbufu wa Askari Traffic barabarani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha umeua mzeeMchawi godoro tuu. Kama una magodoro mazuri unahama muda wowote
Kwahiyo ni mazoea tu?
Wanaibiwaje hivyo bila kukamata wezi?hahaa hao wanaweza kukuotea muda wowot ule wakakuibia..srhem nayoishi mm majirani karibu wote wameibiwa flat screen zao...sie tunaponea chup chup coz tuna mbwa..ila naaminigi iko siku nitashika kibaka kwa mkono wangu..niko senstive mno mm usk...!nikimshikaaa[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Cha kwanza kabla ya kutaja vingine vyote ni Godoro,kwa kweli nilichogundua ni watu wachache sana wana utaratibu wa kuvisha au kubadilisha macover ya magodoro...Huu utaratibu wa kuhama nyakati za usiku ni nani aliuanzisha. Kwanini utaratibu wa kuhama usiku unapendwa sana na Watanzania wengi hasa wa huku uswahilini? Nini siri ya utaratibu huu? Karibuni kwa mjadala...View attachment 1146059
Afadhali waotee ila wajue kabisa mle ndani kuna 60" lazima watakulambahahaa hao wanaweza kukuotea muda wowot ule wakakuibia..srhem nayoishi mm majirani karibu wote wameibiwa flat screen zao...sie tunaponea chup chup coz tuna mbwa..ila naaminigi iko siku nitashika kibaka kwa mkono wangu..niko senstive mno mm usk...!nikimshikaaa😣😣😣😣
Makava huwa ni sh ngapi?Cha kwanza kabla ya kutaja vingine vyote ni Godoro,kwa kweli nilichogundua ni watu wachache sana wana utaratibu wa kuvisha au kubadilisha macover ya magodoro...
Mostly wanaiba nyumba ambazo watu huwa wanaondoka wote asubuhi. Wanaiba mchana,mimi nishaonja joto ya jiweWanaibiwaje hivyo bila kukamata wezi?
Tahadhari ni muhimuAfadhali waotee ila wajue kabisa mle ndani kuna 60" lazima watakulamba
Yaan kama tv 16 zimeibwa ndan ya miez 2...sijajua ..ila ni vibaka wazoefu..Wanaibiwaje hivyo bila kukamata wezi?
Kuhama taratibu ndio vizuri. Leo unahamisha robo kesho nusu hadi unamalizaMie nilikua nahama asbh au mchana..kwasababu nna watoto yann nitese wanangu kumuogopa kibaka
Sina uhakika na hili lakini nadhani kuanzia elf 5 na kuendelea unapata kwa yale ya mitumba,inategemea na size ya godoro...Makava huwa ni sh ngapi?
Kwahyo cover la elfu 5 au 10 linamfanya mtu adhalilike. Dah wabongo bhanaSina uhakika na hili lakini nadhani kuanzia elf 5 na kuendelea unapata kwa yale ya mitumba,inategemea na size ya godoro...
Huko mnaishi wanyonge sanaYaan kama tv 16 zimeibwa ndan ya miez 2...sijajua ..ila ni vibaka wazoefu..
Mie nilikua nahama asbh au mchana..kwasababu nna watoto yann nitese wanangu kumuogopa kibaka
manengelo soma hio?Mi nilihama mchana SAA 8 jua kaliiii[emoji2][emoji2][emoji2], nilipohamia nikakaa siku moja iliyofuata nikapata safari ya kikazi, usiku huo wakaja wenye Mali wakazoa kila kitu[emoji38][emoji38]
Niliporudi, m/ kiti wa mtaa akaniambia, Mama wewe mwenyeji wa wapi? Watu huwa hawahami mchana unajichoresha, waliokuibia walikuona cku una hamia[emoji2][emoji2]
Bachelor-godoro,kitanda, subwoofer,kabti mchina,sofa ya watu 2,feni,bag la nguo (kadeti za kila rangi),shoe rack,tv, laptop,funguo extra wa Toyota,jiko+mtungi, na soksi(zilizofutiwa zilizokakamaa za punyet*)
Spinster-Godoro,kitanda cha chuma,kabati la zipu la pink au fomeka,stendi ya mabeg,dressing table,Vyombo,Jiko+mtungi,jaba,shoe rack,tv +king'amuzi,feni,shangazi kaja ya mawigi na nguo ambazo hajazivaa na hatazivaa na hatazigawa,Mabeg matano ya nguo,kapu la nguo chafu,Fimbo za pazia(hawaachagi kitu),biblia yenye vumbi,midoli,tomato sauce,simu mbovu 2 (smart),miwani ya 3D,vidonge vya P2 na vichupio.
Lakini vyote hivi kilikuu moja inatosha.