Hata ukijua sababu haitokusaidia kitu, fanya yako mkuu kwa maendeleo yako usipende kuchunguza maisha ya watu. Pia na hii mada wapelekee wamama wanaokaa vibarazani ambao hawana kazi za kifanya.
Hili jambo la kuhama usiku badala ya mchana iko siri gani katika hiyo? Tofauti na kuhama mkoa 1 kwenda mwingine.
Ila nimejaribu kuchunguza iwe mtu anadaiwa au hadaiwi kodi mida ya kuhama alipo kwenda kwingine sio rahisi mtu kuhama mchana. Kama kuna anaelewa hiyo anijuze make shemeji yenu kaniambia kuhama kawaida ni usiku tu.
Na wenzetu nao huko majuu wanahama kama sisi usiku?
Huku mwisho saa 2 usiku waqat wa winter. Saa nne ucku summer. Baada ya hapo utaitiwa polisi kwasabab ya kero na bughdha. Ila usiombe majirani zako ni wasomali kwenye flets na wanapohama ama kuhamia ni sheedahhhh na kero