Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kukwepa macho ya "wakuda".
Hamjambo waungwana!
Hili jambo la kuhama usiku badala ya mchana iko siri gani katika hiyo? Tofauti na kuhama mkoa 1 kwenda mwingine.
Ila nimejaribu kuchunguza iwe mtu anadaiwa au hadaiwi kodi mida ya kuhama alipo kwenda kwingine sio rahisi mtu kuhama mchana. Kama kuna anaelewa hiyo anijuze make shemeji yenu kaniambia kuhama kawaida ni usiku tu.
Na wenzetu nao huko majuu wanahama kama sisi usiku?
Karibuni mnijuze.
Ishu ni unavyovihamisha vinafananaje.... wenye maflat TV ya kiplasma na ma LCD wanahama mchana... wenye machest friza yao na wanahama mchana..... we mtu anahama utafikiri anahamisha dampo au jalala unategemea ahame mchana...??!!
Jikite kwenye mada tafadhali.Naomba tafsiri ya Id yako...kwa kiswahili.
Kulinda "privacy".
Mama'ko anaanika kufuli zake uani?
Kulinda "privacy".
Mama'ko anaanika kufuli zake uani?