Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Hata dot zikiwa connected huwezi pata connection kati ya kuanika kufuli na kuhama... Kwani kuhama mchana hayo makufuli si yanawekwa kwenye mabegi au makabati..??!! AU ANAYEHAMA USIKU MAKUFULI YAKE ANAYAWEKA PALE PANAPOBANDIKWA ROAD LICENCE..??

Asiyejuwa maana haambiwi maana.
 
Ulitaka niandike pichu ndio uelewe?
lusungo wahed.

Mi sitaki ugomvi Ktk kuadhimisha siku ya kuzaliwa Mungu wetu mtukufu Yesu kristo aliye hai....

Karibu upate bia walau castle lite mbili....
 
Last edited by a moderator:
Macho mengine ya watu sio mazuri hasa ukichukulia kuwa hali zetu za maisha hazilingani. Hata hivyo imekuwa ni kama destuti tu.
 
Duh sio kweli mm nilihamia mchana kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…